Upande wa pili wa Edward Lowassa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upande wa pili wa Edward Lowassa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Feb 1, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hallow, Great thinkers!!!!
  Pamoja lawama na takataka zote anazotupiwa Edward Lowassa. Pamoja na mabaya yote aliyonayo Edward Lowassa kama mimi na wewe tulivyo na mabaya yetu, tutakuwa hatumtendei haki Edward Lowassa kama tusipo yatangaza mazuri yake.

  Kwangu mimi, Edward Lowassa namuona kama
  1. kiongozi bora na anayeweza kusimamia maamuzi yake
  2. Kiongozi ambaye yupo tayari kuchukua maamuzi mazito hata kama yataudhi wengi ilimradi yana maslaha kwa taifa
  3. Kiongozi ambaye anaweza kulifikisha taifa pale tunapohitaji

  Baadhi ya mambo makubwa ambayo huwezi kuyataja bila kumtaja Edward Lowassa ni Uthubutu wake wa kuuvunja mkataba kati ya serikali na city water. Ni yeye aliyeasisi na kusimamia mradi wa shule za kata, though hazifanyi vizuri. Ni Edward Lowassa angalau alionesha nia ya kuleta mvua artificial na ninaamini kama Lowassa angeendelea kuwa PM leo hii uwajibikaji serikalini ungekuwa na mkubwa sana.

  Nimegusa tu mazuri ya Laigwanani Lowassa, mazuri yapi ya Lowassa unayajua? Yaandike hapa
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Umetumwa?
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Acha unafiki wako hapa, tunamfaham edward ngoyayi lowassa kama mtu jasiri na mwenye tamaa asiyetosheka. Ni mtu anayejali masilahi yake binafsi hata kwa gharama za wanyonge.
  Hatuhitaji na wala usipoteze muda wako kumpaka mafuta, tunayajua yote unayoandika.

  Na ukome
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Dear KAUMZA,
  Kwanza hongera kwa kuwa na mawazo huru!!

  It is true that Lowassa if better compared to many others in CCM!

  1. Kuanzisha shule za kata hili mimi naona bora kuliko chochote alichofanya na atakumbukwa kwa hili.
   
 5. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  waliojunga JF 2010s wametofautiana sana!!
   
 6. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Alivunja mkataba wa City Water na mpaka leo hakuna maji ya uhakika Dar, alianzisha shule za kata ambazo zimeongeza kiwango cha kufeli na kushuka kwa kiwango cha cha elimu kwa ujumla, hayo masuala ya mvua artificial yalimfanya aonekane kama mpiga ramli. Bado hujanishawishi. tafuta mengine ambayo unadhani kuwa ni mazuri ya Lowassa, haya uliyoyasema yote alifeli, tena sana
   
 7. k

  kayumba JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Saa nyingine uniwia vigumu kuelewa kama sisi sote tunaishi Tanzania moja na kuona matukio yale yale kwa pamoja au wengine uona matukio tofauti na mimi!

  Ebu tuongelee hayo yenye RED

  Kiongozi bora: Kweli kiongozi bora ni yule anayejiuzulu kwa kashfa, au ubora gani unasema?????

  Kuchukua maamuzi mazito: Yapi hayo ili tuyajue nasie!

  Masilahi ya Taifa: Je kweli tunaelewa masilahi ya taifa ni yapi na maslahi ya mtu binafsi ni yapi?

  Kulifikisha taifa tunapohitaji: Kweli? Taifa linaitaji kufika kwenye huu mgao??????

  Rudi ufikirie tena kabla ya kuambiwa umetumwa!
   
 8. M

  MushyNoel Senior Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Haiwezekani kwamba mtu akawa na mabaya tu akose zuri hata moja.Sasa kama tutaona hata mchakato wa uanzishaji wa shule za kata halikuwa na msingi utakuwa wendawazimu.Kiukweli elimu shule za kata zipo chini lakini zimechochea fikra za kimageuzi.Nataka niseme kwamba kama vijana wengi na ambao wamekuwa na mwamko mkubwa wa kutaka mageuzi ni kwa sababu wamepita kwenye shule hizo hizo za kata.kama wangebaki pale pale std seven wasingeona na/au wasingepata mwamko wa kuona something is wrong somewhere.Kwamba Mh Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ni suala lingine lakini tukubali kiutendaji alijitahidi.Angalia utendaji wa wakurugrnzi enzi zake n.k
   
 9. k

  kiparah JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Unalipwa sh' ngapi vile?
   
 10. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  naona Uvccm wako kazini, kuna sehemu nimeona wanampaka mafuta kiwete poleni sana...maana hadudanganyiki.....

  hivi unaweza kuniambia kwanini hakuwataka kikwete na Lowasa kuongoza nchi hii
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Lowasa is better 100 times compared to mkwere! This is a fact
   
 12. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Hujatulisha matapishi bado.
  Tanzania ina watu wengi waadirifu why Lowassa everyday??

   
 13. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Na nani? Na kwa nini? Na kama nimetumwa? Na kama sijatumwa?
   
 14. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Jibu swali kisha uliza swali.

  Umetumwa??
   
 15. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #15
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Congrats! tuko pamoja, niko na wewe! namsifia Lowassa kwa kuanzisha shule za kata anayebisha aje kwa hoja nzito, nimweleze umuhimu wake. umeeleza moja na zuri hili wengi hawalioni wamebaki kufuata mkumbo wa kulaumu tu. shule za kata are best kama watanzania tutaamua zitukwamue!
   
 16. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huo ndo uwezo wako wa kufikiri. Nadhani unatumika kama mipira ya kufanyia ngono then ukimaliza kazi yao wanakutupa tena jalalani.

  Laiti ungejua pengine ungekuwa na fikira za ukombozi ili shangazi, babu, bibi na wadogo zako wapate kukombolewa kuliko kutetea fikira za mafisadi kama Lowasa.

   
 17. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #17
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280
  Let me buy this

  1. Kwanza naomba unieleze fikra ipi kati ya alizozitaja mtoa hoja ni fikra za kifisadi?
  2. Naomba kupata mwongozo wako wa fikra za kukombolewa in this country??
   
 18. c

  carefree JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Ni waziri mkuu pekee kulazishwa kujiuzulu kwa kashfa
  ni mwanasiasa fisadi jasiri mwenye vitega uchumi lukuki
  hakati tamaa wala hakubaliani na ukweli kwamba watz tulio wengi h a t u m p e n d i
   
 19. i

  ibange JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  lowassa ana mazuri mengi na yaliyotajwa ni ya kweli. lakini ni kiongozi mla rushwa na hatufai hata kidogo. najua anajiandaa kugombea urais na ningefurahi angepitishwa na ccm ili iwe kama kusukuma mlevi
   
 20. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #20
  Feb 1, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,610
  Likes Received: 3,911
  Trophy Points: 280

  Madela this is a million dollar question kwa mtoa hoja, kwa nini amemkumbuka Lowassa?

  However, another question to you is, how can we know this is a good leader or not kama hatujamsikia, anachofanya hapa mtoa hoja ni comparison!! na amesema kabisa kuwa ' ana matakataka yake' anachofanya ni ku-compare na hawa waliopo!! maana wengine hawajui labda aliosoma nao primary!! sasa ukiona katika ccm hawa bado Lowassa anaonekana basi ujue hao wengine ndio hawafai hata kuwa discussed

  Nashangaa thread za siku hizi hazina hoja, ni vijembe tu... lakini madela wa mdilu......sio unafki kweli tunabkubali mkwere kuendelea kuwa rais wetu usiku na mchana huku tunamkataa lowssa? yaani wanaotukana matusi wanatumia basis gani? kuwa hawa wengine ni wasafi??
   
Loading...