Tulitangaziwa kuwa tarehe moja oktoba wana Dar es salaam ni siku ya kupanda miti. Majembe tunayo mgongoni ila tunaomba miche, eneo na maji ya kumwagilia ili tufanikishe zoezi.
Tunaomba uelekeo na utaratibu. Tupo tayari kuunga mkono agizo la RC wetu.
Miche, ardhi na maji!!!!!!
Tunasubiri tuoneTulitangaziwa kuwa tarehe moja oktoba wana Dar es salaam ni siku ya kupanda miti. Majembe tunayo mgongoni ila tunaomba miche, eneo na maji ya kumwagilia ili tufanikishe zoezi.
Tunaomba uelekeo na utaratibu. Tupo tayari kuunga mkono agizo la RC wetu.
Miche, ardhi na maji!!!!!!
Kupanda miti hakuhitaji siku maalum,nijambo la siku yoyote kwa muda wako.pia ilifaa kipindi mvua ipoipo!! Kilakitu mnakipa siku?? Eti kunasiku hadi ya kunywa maziwa,kunawa mikono!?!! Afrika naipendaa
mungu anakuonaMiche nunua..ardhi unapokaa..maji nunua