Upandaji miti Dar 1st Oktoba. tunaomba uelekeo

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
Tulitangaziwa kuwa tarehe moja oktoba wana Dar es salaam ni siku ya kupanda miti. Majembe tunayo mgongoni ila tunaomba miche, eneo na maji ya kumwagilia ili tufanikishe zoezi.
Tunaomba uelekeo na utaratibu. Tupo tayari kuunga mkono agizo la RC wetu.

Miche, ardhi na maji!!!!!!
 
MAKONDA BWANA SHIDA
 
Makonda yupo kimya na viongozi wa serikali za mitaa nao wapo kimya! Kuna maamuzi wananchi wanaweza kweli kuunga mkono ila kama maamuzi na matamko yanatolewa pasipo maandalizi ya kiuhalisia yanakera sana!
 
Tulitangaziwa kuwa tarehe moja oktoba wana Dar es salaam ni siku ya kupanda miti. Majembe tunayo mgongoni ila tunaomba miche, eneo na maji ya kumwagilia ili tufanikishe zoezi.
Tunaomba uelekeo na utaratibu. Tupo tayari kuunga mkono agizo la RC wetu.

Miche, ardhi na maji!!!!!!
Tunasubiri tuone
 
Kupanda miti hakuhitaji siku maalum,nijambo la siku yoyote kwa muda wako.pia ilifaa kipindi mvua ipoipo!! Kilakitu mnakipa siku?? Eti kunasiku hadi ya kunywa maziwa,kunawa mikono!?!! Afrika naipendaa
 
Bila kusahau siku ya kuvuta hewa safi
 
Tunaomba na Route ya Maandamano ya UKUTA ili tukitoka kupanda Miti tusirudi Nyumban tukapiganie Demokrasia. Aluta Continua Makamanda!
 
IMG_1475222069.195694.jpg

Miti na Ukuta ni uhai
 
UKUTA wa Biscuit utavunjwa kwa soda siku hiyo!
Hata kuahirisha wanasoma aibu!
 
.."serikali ya awamu hii haina sera wala dira ya maendeleo ya kweli..inaongozwa na SIASA na MATUKIO ya msimu.." Waziri Mkuu mstaafu Warioba.. Ukiona huyu mzee kaamua kuongea ujue ameshaona tunakoelekea ni giza toroo.. Makonda aliposikia Ukuta umebadilisha tarehe na yeye akaja na TUKIO la kupanda miti ni upuuzi na ubabaishaji uliotukuka
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom