Upako Toka Kuzimu...

Hahaha! Kwi Kwi Kwi!
Umekubali kumbe kazi ni moja tu?!
Asante!

Hiyo alioakiifanya mama'ko na baba'ko mpaka wewe ukazaliwa si kazi ni shughuli, walishughulika wote wawili. Kazi ni pale mama'ko alipokubeba tumboni miezi 9, hakushughulika na babako hapo. Upo hapo ulipo?

Sasa kama bado unabisha nenda kamuulize mama'ko, ile aliyokuwa akiifanya na baba'ko wewe ukapatikana ilikuwa shughuli waliofanya pamoja au la? na pia muulize alipokubeba miezi 9 tumboni ilikuwa ni kazi au la. Ukipata jibu kwake, fanya ni siri yako.

Au kamuulize baba'ko kama unamjuwa.
 
Kimtiacho mtu najisi ni kitokacho na sio kiingiacho!.
Pasco
 
Kwi Kwi Kwi!
Mbibi umenifurahisha!
Twendelee Na Mada!
Wewe waona haramu ni nguruwe tu! Vipi kuhusu Pweza na ngisi?
 
Kimtiacho mtu najisi ni kitokacho na sio kiingiacho!.
Pasco

Pasco Hilo andiko haliharalishi ulaji Wa vilivyo najisi!
Tena ningekuomba uje na Hilo andiko lote kwa ujumla tulidadavue!
 
Faiza Foxy...under surveillance cam....
 
Kimtiacho mtu najisi ni kitokacho na sio kiingiacho!.
Pasco

Wewe unajuwa kuliko Mungu wako:

"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).
 
Kwi Kwi Kwi!
Mbibi umenifurahisha!
Twendelee Na Mada!
Wewe waona haramu ni nguruwe tu! Vipi kuhusu Pweza na ngisi?

Leta ushahidi wa uyasemayo, mimi nimeweka ushahidi wa Biblia.

"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).
 
Leta ushahidi wa uyasemayo, mimi nimeweka ushahidi wa Biblia.

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

vipi kuhusu ngamia hapa arabuni sie twala tu
 
ndo nachopenda nyuzi za MM mengi huzuka mumo kwa mumo.
 
Leta ushahidi wa uyasemayo, mimi nimeweka ushahidi wa Biblia.

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).

Ukisoma hiyo hiyo mambo ya walawi utakuta sehemu inazungumzia samaki!
 
Nani alimpa utume mtume muhamad?,maana mwenyewe ametamka kupitia kuruani hiyohiyo kwamba wote wanaomwita yeye kuwa ni mtume ni wanafiki.Je,wewe ni mmoja wao?Bisha nikupe aya kwenye kuruani.

Naona mtu anapagawa hapa JF
 
Wewe unajuwa kuliko Mungu wako:

“Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao” (Walawi 11: 7 – 8).
Bwana Wetu Yesu Kristo a lipo kuja, alisema "Sikuja kuitengua sheria ya Musa, bali kuikamilisha!", "Kimtiacho mtu najisi ni kitokacho na sio kiingiacho!" ndio maana japo wengine wenu huzitema "zile" wenzenu wengine huzitema! na hakuna najisi yoyote!.

Alimaanisha tusiishi kwa sheria tuu kama wafanyavyo mafarisayo na masadukayo!.
Pasco
 
Majeruhi wa Mapenzi ndio nimekipata miezi miwili iliyopita.....

Nadhani hichi nitakipata mapema!!
 
Sasa unaikataa hiyo walawi 1 17-18? au ndio "contradictions" hizo? Ikiwa Yesu kasema hajaja kutenguwa mbona wewe unatenguwa? au wewe ni zaidi ya Yesu?
 
Sasa unaikataa hiyo walawi 1 17-18? au ndio "contradictions" hizo? Ikiwa Yesu kasema hajaja kutenguwa mbona wewe unatenguwa? au wewe ni zaidi ya Yesu?
Alichofanya Yesu ni kukamilisha kwa kuziondoa sheria vikwazo mfano sheria ya Musa inasema akupigaye kofi mkono wa kulia, na wewe mrudishie kofi!, anayeua kwa upanga, auwawe kwa upanga, mwanake mzinifu, apigwe mawe hadi kufa!. Yesu akasema, atakayekupiga kofi mkono wa kuume, mgeuzie na wa kushoto, na kumpiga mawe mzinifu, na asiye na dhambi awe wa kwanza kutupa jiwe!.
Watu walijikita sana kwenye matendo na kufuata sheria, akawaambia "mtaokolewa kwa neema na sio matendo!"
Pasco.
 
Una maana Yesu kaja kuipinga Taurati.
 
Majeruhi wa Mapenzi ndio nimekipata miezi miwili iliyopita.....

Nadhani hichi nitakipata mapema!!
sasa mbona siku ile tulivoenda beach nikakwambia unisimulie ukawa unagoma ?
NTANUNA mimi!
basi unipe nikisome mwenywe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…