Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,095
- 43,307
coming early next year to a bookstore near you...
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
Mmmmh....karibu kitimoto jioni ya leo pale kwa mama kamche..
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
na ww huna mke wa kumtafutia huo ugali unashinda online mda wote ukimwangalia FF kama yuko online au la, Be a man acha umbea wa kikeHivi weye FaizaFoxy huna mume wa kumpikia, muda wote upo online utafikiri wale wadada wa kinondoni wanavyojianika usiku kucha
na ww huna mke wa kumtafutia huo ugali unashinda online mda wote ukimwangalia FF kama yuko online au la, Be a man acha umbea wa kike
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shariah 14: 7 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shariah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Source: Wapi Katika Biblia Kumetajwa Kuhalalishwa Kula Nguruwe? | Alhidaaya.com
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
Nani alimpa utume mtume muhamad?,maana mwenyewe ametamka kupitia kuruani hiyohiyo kwamba wote wanaomwita yeye kuwa ni mtume ni wanafiki.Je,wewe ni mmoja wao?Bisha nikupe aya kwenye kuruani.Tunangoja Historia ya Tanzania uliotuahidi. Huu udaku wapelekee wadaku wenzako mnaoabudu binaadam na masanamu.
"Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao" (Walawi 11: 7 – 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shari'ah 14: 7 – 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shari'ah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Source: Wapi Katika Biblia Kumetajwa Kuhalalishwa Kula Nguruwe? | Alhidaaya.com
Nani alimpa utume mtume muhamad?,maana mwenyewe ametamka kupitia kuruani hiyohiyo kwamba wote wanaomwita yeye kuwa ni mtume ni wanafiki.Je,wewe ni mmoja wao?Bisha nikupe aya kwenye kuruani.
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shariah 14: 7 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shariah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Source: Wapi Katika Biblia Kumetajwa Kuhalalishwa Kula Nguruwe? | Alhidaaya.com
Na ngamia vipi?