Uozo Ndani ya Polisi: Wanachi wamechoka; Jisomee huu Mkasa

Issue hii isihusishwe CCM ,maana matendo ya baadhi ya polisi hayachagui wewe ni chama gani.Unapoteza maudhui unapoilalamikia CCM.Hata mimi sifurahii matendo hayo maovu,recruitment system ya police ni very poor indeed.Some thing must be done to rescue the situation,hawa Tigo ndio usiseme ,wamejaa dhuluma miilini mwao.Malipo ni hapa hapa duniani.

Mkuu,
Wewe unafikiri nani atatatua tatizo hili zaidi ya serikali ya CCM?
CCM ndio imepewa ridhaa ya kuongoza nchi na badala ya kuchagua viongozi wazuri kuongoza jeshi ,imechagua wajomba zao wala rusha!!Sasa hajulikani nani baba nani mama nani mtoto ,wote wana ndevu kama kambale!

Viongozi wa kitaifa wako bize na "wakina mama wa vichochoroni tu"
CCM ni janga la taifa!!
 
Watanzania tumekuwa kama wakimbizi ndani ya nchi yetu kwasababu ya ufisadi na ubazazi wa serikali sikivu.Hali ilipofikia sasa inatia kinyaa na ikifumbiwa macho hali itakuwa mbaya zaidi.
Hivi karibuni Mkoani Katavi Polisi mmoja alikamatwa kwa kosa la kumlawiti raia na ushahidi wa picha upo,lakini polisi huyo anaendelea kutamba mitaani na anaendelea na ajira yake kama kawaida.Kamanda Kidavashari wa Katavi analijua hili lakini wote ni corrupt leaders.Kumekuwa na taarifa kuwa Polisi wa Katavi wanamtishia kijana huyo aliyelawitiwa kuendelea kulalamikia suala hilo la kulawitia kwa kumwita kijana huyo ni mkimbizi wa kihutu na akiendelea na msimamo wake watamtimua nchini na kupoteza mali zake.Je, hata kama ji mkimbizi ndo alawitiwe! Haki za binadamu ziko wapi...!
 
Hahaha,asiee haya Maandamano kuzuiwa yataleta posts za kila aina na kila style ilimradi tu Ukawa na CCM vijadiliwe.
Napita tu,maana sioni jipya hapa zaidi ya politike
 
Dawa ni kuripoti kwa ukweli na uwazi bila bias.
Waripoti mfano matokeo ya unyanyasaji masheikh unaofanywa na mateso mpaka watu wanakatwa miguu.
Lakini waandishi ambao ndio tunawategemea kuhabarisha ushenzi hiu wa jeshi la police wao wakabana kimya.
Ishu hii ya kuteswa masheikh na kutiwa nyuma wangeikomalia sana lakini wamo wengine waliifurahi...hivyo wache watolewe kucha wache watafunwe na mbwa wacha wapigwe virungu...mkuki kwa nguruwe..na mtu akizoea kula nyama hatochagua nyama ni ya wa dini gani lakimi wenzetu udini umewashika wanasahau theory hio hata Mwalimu aliwatamkia
 
Anyway siku hizi ukikamatwa na polisi washa simu yako irikodi maongezi.
Ukimpata polisi mshamba hata rikodi kwa video ..ukiwa na ushahidi wa kuomba laki 3 wewe mpeleekee ndani ya bahasha baadae hio video mwambie nataka 3m
Bas ujanja ujanja
Si mchina katuwekea video simu zote
 
Karibu sana n i will be happy if u change your negative attitude about the police, really, they r doing good job to serve the public n to fight those 'bad guys' in itself

You are such a big lier
 
Kwa mtu yeyote anaepita Ubungo atakuwa anawafaham hawa jamaa
ImageUploadedByJamiiForums1411111993.342794.jpg ImageUploadedByJamiiForums1411112024.891232.jpg

Story ni ndefu siwezi simulia, ila kwa kifupi tulirumbana nao kwa takribani masaa matatu. Acha nifanye kazi za watu nitarejea na mwendelezo
 
jeshi la polisi matatizo yanaanziaa ngazi ya juu kati mpaka chini......ni ugonjwa zaidi ya cancer wanao hawoooo
 
kuanzia
(1) polisi wa kukabiliana na uhalifu
(2) polisi uhamiaji
(3) polisi usalama barabarNi
(4) polisi kitengo cha kupambana na madawa ya kulevya
kama kuna wengine nimewasahau ajazie.....
vitengo vyote matatizo tuuuuuuuuuuuu
 
Polisi wana elimu ya darasa LA Saba kichwani nduhu kinhu
 
Last edited by a moderator:
Sasa mnaonaje tukienda makao makuu tukaanze kuwapiga mawe maana naona tumechoka sana,halafu tunatolra povu humu.
 
polisi kutoka kitengo chochote ni matatizo sana bora polisi yote ivunjwe ijengwe upyaaaa kuwepo na watu wapya
 
polisi inabidi wabadilike syo kutishatisha tu raia wakistaafugi wanakuwaga wanyonge kweli wao ndiyo wa kwanza kwa mizingaaaa
 
Back
Top Bottom