Siku hizi kila kitu Chadema imefanya hivi, mara vile, kwanini Chadema tu,
Lazima muwe wawazi ili kujitofautisha na ccm na vyama vingine.
Siku hizi kila kitu Chadema imefanya hivi, mara vile, kwanini Chadema tu,
Ngoma leo imeibukia huku? pole mkuu na uchaguzi wa Ausha!!! je umejifunza nini?
Mtu amelazwa hospitali jana tu..tiyari keishatelekezwa. Au kiswahili siku hizi kimebadilika. Hayo madai yenu ya riport ya mapato na matumizi..mmeyafikisha kwa msajili? Maana ndo anayepelekewa riport..na yeye hajalalamika hata siku moja kuwa hajapewa ripoti.pia msajili amepewa nguvu ya kisheria kuomba hiyo ripoti..sasa iweje malalamiko yaje jf.Unaweza kuniambia kwa nini Huyu katelekezwa wakati babu anafanyiwa checkup ulaya?
![]()
Pole sana ndugu yangu, mtatapatapa sana kabla ya kufa kabisa, wakati unaandika uchafu kama huo, fikilia wanyonge watanzania wanaokandamizwa na uongozi dharimu wa kifisadi wa ccm, tafakari na chukua hatua. Acha kutumika hivyo, ungana na wazalendo kupigania haki za watanzania. Tamaa yako ya vijicent isikupelekee kuingia kwenye dhambi itakayo kugharimu maishani mwako. HATUDANGANYIKI
kwa nyuzi za kijinga kama hizi za Hamidu kwanini sasa Jukwaa hili lisiitwe tu Jukwaa la Chadema ? Mnaogopa nini sasa , wakati kila kitu kiko wazi ?
Propaganda tu. Mbona ccm vyanzo na matumizi ya mapato yao kwa miaka 52 sasa wanachama hatuyajui?
Hang Over za Arusha hizi.Ushenzi huu haukuwasaidia japo kushinda hata kituo kimoja kati ya vituo 136
Wanyonge nawafikiria pia huku kwenye vyama naangaza, siwezi kuacha kuangaza huku kwenye vyama kisa tu Tanzania ina wanyonge. Mkuu, kuwa huru ushabiki ni hatari kwa maendeleo ya taifa.
Uchaguzi wa Kata ya Sombetini nimesikia utafanyika mwezi August 2013. Vipi, HAMY-D na wenzako mtatia timu tena?
Mtu amelazwa hospitali jana tu..tiyari keishatelekezwa. Au kiswahili siku hizi kimebadilika. Hayo madai yenu ya riport ya mapato na matumizi..mmeyafikisha kwa msajili? Maana ndo anayepelekewa riport..na yeye hajalalamika hata siku moja kuwa hajapewa ripoti.pia msajili amepewa nguvu ya kisheria kuomba hiyo ripoti..sasa iweje malalamiko yaje jf.
Mkuu hawa vijana ni wagum kuelewa. Ndiyo maana hiki chama cdm bado ckiamin.
Vyanzo vya mapato vya CCM ni EPA, Meremeta, ........................!!!
Hang Over za Arusha hizi.Ushenzi huu haukuwasaidia japo kushinda hata kituo kimoja kati ya vituo 136
Vyanzo vya mapato vya CCM ni EPA, Meremeta, ........................!!!