Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

Tobaaa!!! Na wewe unajiita raia mwema bila hata aibu!!!!! Madudu chungu nzima yanayofanywa na CCM kila uchao huyaoni!? Kuanguka kwa elimu, ukosefu wa ajira, ufisadi na rushwa iliyokithiri, mikataba isiyo na maslahi na madudu mengine chungu nzima. Yote haya huyaoni/huyasikii!? Nina hakika ungekuwa raia mwema basi madudu haya yote ungeyaona ama kuyasikia na hivyo kuyakemea kwa nguvu zako zote, lakini wapi kila kukicha na kushuka na uzi za kuiponda CHADEMA ili upate buku 7 zako ili wanao waende choo. Raia mwema kamwe hawezi kuwa na matendo kama ya kwako.

Mkuu, raia mwema yeyote akiona uovu unafanyika ni wajibu kwake kupiga makelele ili uovu huo ukome. Ndio maana unaona hata mashirika binafsi serikali na watu wengine wanaingilia baadhi ya mambo. UFISADI ni adui yetu sote, hatuna budi kupambana nae.
 
Tatizo lako wewe ni shabiki wa chama fulani.ili ueleweke toa takwimu ya vyanzo vya mapato vya vyama vya siasa vilivyo sajiriwa,then ndo uje na hizo tuhuma.
 
So, chadema wanaiga yanayofanywa na ccm? Ccm wasiposoma na cdm nao hawasomi.
 
Back
Top Bottom