Hatimae Al Saif Hamy-D ameibuka. Juzi nasikia ulienda simamia Mtawra baada ya kuona wanajeshi. Da, kama ni mdomo mtoto umeumbiwa ila vitendo sasa ndiyo sufuria. Mtoto wa kiswahili haswa.
Kawaambie CCM warudishe mali zote za wananchi, viwanja vya mipira, majengo viwanja vya wazi ni malu ya wananchi warudishe ni mali ya umma
Kawaambie CCM warudishe mali zote za wananchi, viwanja vya mipira, majengo viwanja vya wazi ni malu ya wananchi warudishe ni mali ya umma