Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,732
- 11,726
CUF Habari mnajisikiaje? Hii ilikua nafasi yenu lakini mkakubali kuwa wasaliti na kutumika kwa mslahi ya Magufuli na CCM. Mnaenda kuvuna mlichopanda, mnaenda kuwa kama TLP na NCCR.
tatizo lao wazenji hawajui kulinda kura zao…….
Kwa kweli tukubali tusikatae, CCM huko Zanzibar hawana chao
Kwa mapokezi haya ya wananchi CCM huko Zanzibar wajiandae kukabidhi uongozi kwa chaguo la wananchi wa huko. Nje ya hapo ni dhulma na uonevu uliopitiliza
Wananchi wa Zanzibar nzima unguja na Pemba wanatuma meseji waziwazi kuwa hawajachoka kumpenda maalim!
Kwa kweli kwa kauli ya wananchi Maalim hana mpinzani
Roho zinawagonga sana. Uzee ni process na siyo ugonjwa.Vita haina Mzee wala Kijana , mjinga mmoja. Mwaka huu mtajijua
Siyo kosa lao, kosa ni wale wanaovunja haki zao kwa mitutu ya bunduki
kule Zanzibar CCM kwisha habari yake hata waki force vipi. it's now very obvious - CCM is out!
tatizo litakuwa huku bara. shida si kwamba watu wanaipenda sana CCM ya awamu hii - NO - far from it.
shida ipo kwa wabara ambao wengi wana mentality ya ajabu sana linapokuja suala la uchaguz....utakuta mtu anaidharau kura yake moja na kudhani haitaweza kuathiri matokeo ya mwisho na hii mara nyingi hupelekea wapiga kura wachache tu kujitokeza.
kambi ya upinzani inapaswa kufanya kampeni kubwa sana tena sana kuwahimiza watu wengi kujitokeza kupiga kura. vinginevyo i tell you chama changu miye nakijua mwenyewe mambo yake - kitafyatua matokeo yake kirahisi kwani margin itakuwa ni ndogo. wakijitokeza wapiga kura wengi, margin kwenye kura za urais inaweza kuwa kubwa, na ikitokea hivyo si rahisi kwa chama changu kuiba kura say milioni 5!
kua anatembelea na mkongojo ndio hana haki ya kugombea auMzee mpaka anatembelea mkongojo lakini bado yumo tu? Ifike mahali kama tutashindwa kuonea haya wanaotuzunguka basi tuzionee haya dhamiri zetu
hakuana popote duniani watu walipotaka mabadiliko wakisikiliza kiongozi wazanzibar hawajawa tayari kwa mabadilkioKaka zenji wakati wa uchaguzi wanajeshi wote wa TPDF na mapoilisi huletwa znz ili waje wabake dada zetu na wasiadie kuiba kura na kufanya kila baya. Hakika SMT/CCM/SMZ wanajua kuwa hawana sapoti ya wananchi lkn wanategemea dola tu. lkna hata hivyo, maalim seif akifungwa mdomo kwa plasta of paris na viongozi wa ACT na wanachama na aambiwe aache kauli zake za tulieni, tulieni, tulieni naamini znz patachimbika kwa sababu maalim ndo huwa anawazuia vijana wasidai haki yao. Unajua siasa za znz ni kama vile mchezaji na shabiki kwani timu yake ikifungwa, shabiki huwa anaumia zaidi kuliko mchezaji.
Seif kila mwisho wa siku hubakiwa na akiba isiyozidi shilingi laki 1 tu ndiyo anayoamkia nayo. Hela ya ziada yoyote anayokuwa nayo huitowa kama sadaka kwa wananchi masikini.Inamaana kindege hicho Seif hana pesa za kukikodi?
Kwa kweli tukubali tusikatae, CCM huko Zanzibar hawana chao
Kwa mapokezi haya ya wananchi CCM huko Zanzibar wajiandae kukabidhi uongozi kwa chaguo la wananchi wa huko. Nje ya hapo ni dhulma na uonevu uliopitiliza
Wananchi wa Zanzibar nzima unguja na Pemba wanatuma meseji waziwazi kuwa hawajachoka kumpenda maalim!
Kwa kweli kwa kauli ya wananchi Maalim hana mpinzani