Zanzibar 2020 Uongozi wa ACT wapokelewa Pemba, Maalim Seif amshangaa Rais Magufuli kusema uchaguzi utakuwa huru ilhali hakuna dalili

Tizama ndugu labda wewe umezaliwa 2015 mbwembwe hizo unazoziona miaka yote zipo na hazipishana ukubwa subiri mwisho wa uchaguzi aidha watasusa au mshindi itakuwa CCM. Jiulize kampeni bado lakini wanahaha huku CCM wapo kimyaaaa wanaangalia matobo
 
Tobo ni JWTZ
 
Back
Top Bottom