Zanzibar 2020 Uongozi wa ACT wapokelewa Pemba, Maalim Seif amshangaa Rais Magufuli kusema uchaguzi utakuwa huru ilhali hakuna dalili

Watanzania na Dunia imeona mapenzi ya Wazanzibari. Imedhihiri Unguja Jumapili na imekuwa wazi kabisa Pemba Leo. Kama Kiongozi wa @ACTwazalendo ninachopenda kuona ni makabidhiano ya madaraka kwa Amani baada ya Oktoba 28, 2020. HATUTAZUIA Wananchi kulinda Ushindi wao.
IMG_20200811_145309.jpg
IMG_20200811_145300.jpg
IMG_20200811_141813.jpg
 
Kwa kweli tukubali tusikatae, CCM huko Zanzibar hawana chao
Kwa mapokezi haya ya wananchi CCM huko Zanzibar wajiandae kukabidhi uongozi kwa chaguo la wananchi wa huko. Nje ya hapo ni dhulma na uonevu uliopitiliza
Wananchi wa Zanzibar nzima unguja na Pemba wanatuma meseji waziwazi kuwa hawajachoka kumpenda maalim!
Kwa kweli kwa kauli ya wananchi Maalim hana mpinzani
 
kule Zanzibar CCM kwisha habari yake hata waki force vipi. it's now very obvious - CCM is out!

tatizo litakuwa huku bara. shida si kwamba watu wanaipenda sana CCM ya awamu hii - NO - far from it.
shida ipo kwa wabara ambao wengi wana mentality ya ajabu sana linapokuja suala la uchaguz....utakuta mtu anaidharau kura yake moja na kudhani haitaweza kuathiri matokeo ya mwisho na hii mara nyingi hupelekea wapiga kura wachache tu kujitokeza.

kambi ya upinzani inapaswa kufanya kampeni kubwa sana tena sana kuwahimiza watu wengi kujitokeza kupiga kura. vinginevyo i tell you chama changu miye nakijua mwenyewe mambo yake - kitafyatua matokeo yake kirahisi kwani margin itakuwa ni ndogo. wakijitokeza wapiga kura wengi, margin kwenye kura za urais inaweza kuwa kubwa, na ikitokea hivyo si rahisi kwa chama changu kuiba kura say milioni 5!
 
Siyo kosa lao, kosa ni wale wanaovunja haki zao kwa mitutu ya bunduki

Kaka zenji wakati wa uchaguzi wanajeshi wote wa TPDF na mapoilisi huletwa znz ili waje wabake dada zetu na wasiadie kuiba kura na kufanya kila baya. Hakika SMT/CCM/SMZ wanajua kuwa hawana sapoti ya wananchi lkn wanategemea dola tu. lkna hata hivyo, maalim seif akifungwa mdomo kwa plasta of paris na viongozi wa ACT na wanachama na aambiwe aache kauli zake za tulieni, tulieni, tulieni naamini znz patachimbika kwa sababu maalim ndo huwa anawazuia vijana wasidai haki yao. Unajua siasa za znz ni kama vile mchezaji na shabiki kwani timu yake ikifungwa, shabiki huwa anaumia zaidi kuliko mchezaji.
 
Ndugu zangu Dega uko wapi? gavana, falcon mko wapi?
 
hakuana popote duniani watu walipotaka mabadiliko wakisikiliza kiongozi wazanzibar hawajawa tayari kwa mabadilkio
 
Inamaana kindege hicho Seif hana pesa za kukikodi?
Seif kila mwisho wa siku hubakiwa na akiba isiyozidi shilingi laki 1 tu ndiyo anayoamkia nayo. Hela ya ziada yoyote anayokuwa nayo huitowa kama sadaka kwa wananchi masikini.
 
Kwa kweli tukubali tusikatae, CCM huko Zanzibar hawana chao
Kwa mapokezi haya ya wananchi CCM huko Zanzibar wajiandae kukabidhi uongozi kwa chaguo la wananchi wa huko. Nje ya hapo ni dhulma na uonevu uliopitiliza
Wananchi wa Zanzibar nzima unguja na Pemba wanatuma meseji waziwazi kuwa hawajachoka kumpenda maalim!
Kwa kweli kwa kauli ya wananchi Maalim hana mpinzani

Kupiga kura sio muhimu, muhimu ni kuhesabu kura na kumtangaza mshindi, kwa hiyo mtulize ball.
 
Chondechonde mlio madarakani na mnaofanya maamuzi, hata kama inaonekana ni upinzani nadhani kuna jambo kubwa la kujifunza hapa, kwamba kuna nguvu kubwa upande wa pili ambayo haipaswi kupuuzwa, haipaswi kunyamazishwa kwa vitisho, bali ni kuangalia namna gani na uwezekanao wa kufanya kazi kwa ushirikiano kwa pande zote.
 
Back
Top Bottom