The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,804
Kuua bila kukusudia ni kosa la jinai ama kosa la madai?Ditopile alishtakiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia.
Kuna tofauti kubwa hapo.
Ni kosa la bahati mbaya!Kuua bila kukusudia ni kosa la jinai ama kosa la madai?
Halafu kuifananisha kesi ya jinai na kesi ya ajali ya barabarani ni kuchanganya mambo.Ditopile alishtakiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia.
Kuna tofauti kubwa hapo.
Unajua alichokifanya Ditopile?Halafu kuifananisha kesi ya jinai na kesi ya ajali ya barabarani ni kuchanganya mambo.
Labda umepitiwa. Ditopile aliuwa au lugha ya kisheria alisababisha kifo cha conductor. Wala haikuwa kosa la barabarani, kulitokea mzozo baina yake na conductor wa daladala. Baada ya hapo Ditopile alitoa bastora na kufyatua risasi kwa konda iliyoleteleza mauti. Ndipo baadae alivuliwa ukuu wa mkoa na kushitakiwa. Na alishitakiwa na Jamhuri. Lilikuwa kosa la jinai. Na hii kesi ilijaa utata kwa madai kuwa aliuwa bila kukusudia.Halafu kuifananisha kesi ya jinai na kesi ya ajali ya barabarani ni kuchanganya mambo.
Zitaje hizo tofauti😅Ditopile alishtakiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia.
Kuna tofauti kubwa hapo.
[emoji16][emoji3][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji28]Ni kosa la bahati mbaya!
Nendeni shule muongeze maarifa, msibishe tu ili mradi muonekane mnajua kubisha. Makosa yote ya barabarani hua ni ya jinai.Halafu kuifananisha kesi ya jinai na kesi ya ajali ya barabarani ni kuchanganya mambo.
Hakuwa kondakta alikua derevaLabda umepitiwa. Ditopile aliuwa au lugha ya kisheria alisababisha kifo cha conductor. Wala haikuwa kosa la barabarani, kulitokea mzozo baina yake na conductor wa daladala. Baada ya hapo Ditopile alitoa bastora na kufyatua risasi kwa konda iliyoleteleza mauti. Ndipo baadae alivuliwa ukuu wa mkoa na kushitakiwa. Na alishitakiwa na Jamhuri. Lilikuwa kosa la jinai. Na hii kesi ilijaa utata kwa madai kuwa aliuwa bila kukusudia.
Hata kesi za usalama barabarani zote uwa ni za jinai.
Waliokuwa mawaziri, Mramba na Yona nao pia walishawahi kushitakiwa wakiwa viongozi waandamizi wa Serikali, hivyo Zito kakurupuka bila kutazama historia. Si hivyo tu Zombe na wenzake alivuliwa wadhifa wake na kushitakiwa. Alikuwa mtumishi mwandamizi tena wa polisi.
Suala la kwamba ni "kuua bila kukusudia" ni baada ya hukumu kuendeshwa. Hakuna case inayofunguliwa kwa jina la "kuua bila kukusudia" Hayo ya kutokusudia yalikuja baada ya hukumu kuendeshwa.Ditopile alishtakiwa kwa kosa la kuuwa bila kukusudia.
Kuna tofauti kubwa hapo.
Point of correction. Ni daladala driver siyo daladala conductor.Labda umepitiwa. Ditopile aliuwa au lugha ya kisheria alisababisha kifo cha conductor. Wala haikuwa kosa la barabarani, kulitokea mzozo baina yake na conductor wa daladala. Baada ya hapo Ditopile alitoa bastora na kufyatua risasi kwa konda iliyoleteleza mauti. Ndipo baadae alivuliwa ukuu wa mkoa na kushitakiwa. Na alishitakiwa na Jamhuri. Lilikuwa kosa la jinai. Na hii kesi ilijaa utata kwa madai kuwa aliuwa bila kukusudia.
Hata kesi za usalama barabarani zote uwa ni za jinai.
Waliokuwa mawaziri, Mramba na Yona nao pia walishawahi kushitakiwa wakiwa viongozi waandamizi wa Serikali, hivyo Zito kakurupuka bila kutazama historia. Si hivyo tu Zombe na wenzake alivuliwa wadhifa wake na kushitakiwa. Alikuwa mtumishi mwandamizi tena wa polisi.
Fack check
Supreme leader and Chief Advisor wa ACT Wazalendo Bw. Zitto Kabwe ameandika kwenye mtandao wa Twitter kua Tanzania haijawahi kutokea mkuu wa mkoa, RC ama mkuu wa wilaya DC kushtakiwa akiwa ofisini katika historia ya Tanzania.
Zitto hua sio mwanasiasa wa kumuamini, wanasiasa wote ni waongo ila Zitto yeye ni muongo zaidi.
Sasa wanasiasa waongo aina ya Zitto wakienda unchecked wataendelea kuwaaminisha wafuasi wao uongo na kupelekea kua na jamii iliyojazwa Uongo.
Zitto anasema Sabaya ndie mkuu wa wilaya wa kwanza kushtakiwa akiwa madarakani kwa makosa ya jinai.
Naomba kumbukusha Zitto kua November 6, 2006 aliewahi ama aliekua mkuu wa mkoa wa Tabora Bw. Zitopile Mzuzuri alifikishwa mahakamani kwa kosa la jinai la mauaji na jambo hilo lilijadiliwa humu.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ditopile Mzuzuri akamatwa kwa mauaji ya Dereva wa Daladala
Dereva aliyeuawa azikwa Dar Na Muhibu Said MAZISHI ya dereva wa daladala, Hassan Mbonde (33), anayedaiwa kuuawa kwa risasi na Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Ukiwano Ditopile Mzuzuri, jana yalitawaliwa na simanzi na vurugu zilizosababisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujeruhiwa usoni...www.jamiiforums.com
Zitto acha uongo.