Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
sana ila sidanganyi Heaven on earth
hahaaa kwahiyo YNNAH yeye sio habari nyingine
Nikigusa hawezi simama au kutembea mtu mpaka akiniona anajihami ki-saikolojia.........kama unasifiwa mwanzoni tu chukua hatua Lady doctor upo?
kwani wao hua hawadanganyi?
hapo ngoma drooooo!!
YNNAH she's an individual fimale!
She's a certain!
She's a particular!
She's specific!
Si mwanamke wa ku'beep , ni wa kupiga!
Amekamilika idara zote! Kuanzia veranda to bedroom.
huyu Judgment huyu...kaanza kuwaponda wanawake
alivotajiwa ynnah tu wee kamteteaje....Halafu mbona nimekumiss
sana pacha ake wii wangu
Kumbe nawe umemuona eeh??
Teh! Teh! Mkuki kwa nguruwe...............................
huyu Judgment huyu...kaanza kuwaponda wanawake
alivotajiwa ynnah tu wee kamteteaje....Halafu mbona nimekumiss
sana pacha ake wii wangu
Na ulivyokuwa unajishaua kushabikia ilihali mtoa maada kageneralize wanawake??
H.O.E kwanza ulistahili Ban atlist ya 3 days !
Hiyo ni penalt ya kumenshen YNNAH name bila kuli-bold!
Nway kosa la kwanza unasamehewa bure!
Btw mi sijamipondeni , nimesubmit maono yangu!
Nitawapondaje na nyie ndy utulivu wetu?
hapa ngoja Mamndenyi aje atoe uzoefu maana ameshaachika mara kibao na wanaume tfautitofauti, mie ndio kwaanza hata wazo la kuachika sina!
Halafu wewe, shauri zako;
Mie mwenzio hata nikiachika huwa nabaki nayo moyoni,
Hata waume zangu hubaki nayo moyoni,
na siku tukikutana loooh, ni full shangwa.
hapana,Huwa tunasema mkuki kwa mchungu kwa binadamu nguruwe!
Mnaniteta wewe na H.O.E eti ?
Hivi kumteta mume wa mtu inaruhusiwa?
Alafu wewe mtu nakutafutaje tangu usubui !
Hebu mambo ya maswali keep aside.
Avemaria mimi ni mshenga.
Kuna ndg yangu amekuangukia si polepole!
Pl'se nipe roadmap jimbo liko wazi tujipange?