Uongo wa wanasiasa

Uongo wa wanasiasa

Danny greeny

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Posts
3,856
Reaction score
1,648
Wanasiasa 40 walipata ajali mbaya porini mkulima mmoja alipoona hivyo alichimba shimo na kuwazika wote pamoja.alipoulizwa na polisi juu ya maiti mambo yalikuwa hivi;

POLISI: zipo wapi maiti?

MKULIMA: nimezizika.

POLISI: unahakika wote walikuwa wamekufa?

MKULIMA: kuna wengine walikuwa wanalalamika kwamba hawajafa lakini c unajua wanasiasa walivyo waongo, mi nikajua tu wanadanganya nikawazika wote!!!
😃😃😃
 
Back
Top Bottom