Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,066
- 4,085
pole sana mkuu. lazima hii stori kapigiwa na wenzake shule huko. u have to tell him that its a liar.
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.
hivi wale ombaomba
1.ni mataahira?
2.hawana wazazi?
3.kwa nini wasipelekwe kwenye vituo vya kulelea watoto?
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.
Nami huwa najuuliza swali hilo na lingine je ukisaidia omba omba barabarani ndo utapata dhawabu kwa mwenyenzi mungu?Hivi ombaomba haezi kusaidiwa kwa utaratibu mwingine mpaka wakae majiani?
ili ukute hawapo lbd Mh Kandoro arudi Dar lkn kwa huyu mwanasiasa hamna kitu,porojo utekelezaji ziroUkweli wale Omba omba huwa waanikwaza sana. huwa kila siku najiuliza inawa kweli hawana hata ndugu wa mbali ambao ana uwezo kidogo kuwasaidia? sisi wengine mbona tuna ndugu huko vijijini mbao wengine ni wazee sana na wengine hawajiwezi, tunajitahidi kuwasaidia? ukweli wanakera sana. Natamani sana siku niamke nisione hata ombaomba mmoja
Mwanao ana maruhani nakushauri mpeleke kwa Kakobe akaombewe na kuwa tiba yake,bwana awe naye.Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.
Ndugu,Pole sana kwa huyo mtoto. huna haja ya kumpeleka muhimbili mapema hivi. kama mmejitahidi kuongea naye sana na still anaweweseka jaribu kumtafuta rafiki yake, mtoto mwenzake, na uongee naye amwambie kuwa sio kweli. sometimes watoto wanaaminiana sana ndo maana huwa wanaigana kwa mambo mengi mazuri au mabaya.
Uvumi wa mwanamke aliyeota manyoya na kisha kupotea umeleta athari nyingi sana. Miongoni mwa athari hizo ni kwamba wale watoaji sadaka kwa ombaomba wa maeneo ya daraja hilo na ombaomba wengine waliozagaa kwenye mitaa mingi ya jiji hili wamekuwa wazito kutoa hizo sadaka na kupelekea kipato cha maomba omba kupungua.
Uvumi wa mwanamke aliyeota manyoya na kisha kupotea umeleta athari nyingi sana.
miongoni mwa athari hizo ni kwamba wale watoaji sadaka kwa ombaomba wa maeneo ya daraja hilo na ombaomba wengine waliozagaa kwenye mitaa mingi ya jiji hili wamekuwa wazito kutoa hizo sadaka na kupelekea kipato cha maomba omba kupungua.
Mwanangu anayesoma Olympio amekuwa akiweweseka usiku kwa kuongea maneno yasiyoeleweka. Ukimwamsha na kumuuliza alikuwa anaota nini, anakwambia kuwa ameota konda kamteremsha Sarenda darajani halafu kakutana na mtu mwenye manyoya ya paka kampeleka kuzimuni.
Mwanangu amekuwa akikosa raha na amekuwa mwingi wa mawazo, kula yake imekuwa ya taabu na hana raha kabisa.
nini kinachekesha?ha ha ha!nimecheka sana hapo nilipo bold.