Uongo wa Mwanamke wa Daraja la Sarenda.

Nami huwa najuuliza swali hilo na lingine je ukisaidia omba omba barabarani ndo utapata dhawabu kwa mwenyenzi mungu?

Jibu sijui bana, maana wengine hawaamini Mungu lakini wanao moyo wa kutoa.

Kwa kuongezea tu mi nadhani it all start with our failure to solve every problem, hata lililo dogo kabisa twashindwa. Pengine kungekuwa na centres za kuwasaidia wenye shida wa aina zote na huenda walemavu wote na wenye shida wote wangeweza kusaidiwa uniformly according to mahitaji yao na pengine wasamaria wema wangajitokeza kwa wingi zaidi kama tunavoona nchi nyingine wanavyofanya kwa uwepo wa system nzuri ya kutunza hiyo michango na misaada.
 
Ukweli wale Omba omba huwa waanikwaza sana. huwa kila siku najiuliza inawa kweli hawana hata ndugu wa mbali ambao ana uwezo kidogo kuwasaidia? sisi wengine mbona tuna ndugu huko vijijini mbao wengine ni wazee sana na wengine hawajiwezi, tunajitahidi kuwasaidia? ukweli wanakera sana. Natamani sana siku niamke nisione hata ombaomba mmoja


Je kama Ungekuwa wewe pia watu wasingetamani wakuone naomba mungu akulaani na wewe uone je kazi hii ya ombaomba inafaa au nenda siku kaijaribishe kisha tuletee maoni hapa
 
haya maisha jamani sometimez machozi yananitoka juu yao hasa wale watoto wadogo sana najiuliza kwa nini inakuwa hivyo,i wish ningekuwa na uwezo wa kuwasaidia wote ktk mateso hayo
 
Je kama Ungekuwa wewe pia watu wasingetamani wakuone naomba mungu akulaani na wewe uone je kazi hii ya ombaomba inafaa au nenda siku kaijaribishe kisha tuletee maoni hapa
afadhali wewe umesema mi namshangaa sana huyu jamaa eti anakereka hata kuwaona barabarani,watu wengine wa ajabu sana,kwani ombaomba kapenda kusimama barabarani na kuomba??nani anapenda hali hiyo imkute?badala ya kutafuta solution ya kuwasaidia eti ooh anakereka hata kuwaona binadamu tunajisahau sana,kashawaona ombaomba hawafai hata kuvuta hii pumzi anayayovuta yeye,na angekuwa rais huyu angefanya kama idd amini alivyofanya kuwabeba vilema na kwenda kuwatupa mto kagera.
 
hivi wale ombaomba
1.ni mataahira?
2.hawana wazazi?
3.kwa nini wasipelekwe kwenye vituo vya kulelea watoto?

Idara ya ustawi wa jamii ingekuwa inafanya kazi vizuri, anyway ingekuwa inawezeshwa na serikali ombaomba hao wangekuwekwa kwenye vituo vya watu (special group) wenyekuhitaji uangalizi na huduma maalum.
 
haya maisha jamani sometimez machozi yananitoka juu yao hasa wale watoto wadogo sana najiuliza kwa nini inakuwa hivyo,i wish ningekuwa na uwezo wa kuwasaidia wote ktk mateso hayo


FL,
Wewe kama wewe hautaweza kuwasaidia, ombaomba ni wengi sana tukiacha hawa waliopo Dar na mikoa mingine wapo ni wengi tu. Hapa ndio tujifunze kuwa serikali yetu haifanyi vizuri kuleta maisha bora kwa kila MTz. Kuna Idara ambayo ipo kwa kazi hiyo (Social Welfare Department) lakini Idara hii ni aibu tu, Serikali imeisahau kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ukienda kwenye ofisi za Idara hiyo unaweza kulia, kuna foleni kubwa sana ya watu wenye matatizo mbalimbali ya kijamii wanaohitaji msaada lakini uwezo wa Idara hiyo kuhimili matatizo ni mdogo mno. Ukienda kwenye ofisi hizo utakuta kuna wenye matatizo kama ya Mke kutelekezwa yeye na watoto, Ugomvi ndani ya ndoa, watoto waliookotwa mitaani au kwenye mitalo, Ombaomba wakitaka kusaidiwa,akina mama wanaodai matunzo kutoka kwa mabwana au waume zao, machangudoa wanaohitaji mbadala wa kazi zao na mengine mengi saaaaaaaaaaana. Mimi natamani Idara ile iwezeshwe ili hayo maisha bira kwa kila mtanzania yaonekane
 
Je kama Ungekuwa wewe pia watu wasingetamani wakuone naomba mungu akulaani na wewe uone je kazi hii ya ombaomba inafaa au nenda siku kaijaribishe kisha tuletee maoni hapa

Prisoner umewahi kuwa ombaomba? kama ni hivyo pole sana, lakini jua kuwa "DUA LA KUKU HALIMPATI MWEWE". I trust my God, huyo Mungu wako unayemuomba hanihusu, na uangalie asije akakulaani mwenyewe
 
Swala la huyo mwanamke kudanganya limewaingia watu wengi sana na mimi mwenyewe niliamini kwa kiasi fulani. Hii inatokana na mazingira ambayo huwa tunayashuhudia.

Kwa mfano yupo omba omba mmoja mwenye kidonda kikubwa mguuni, amekuwa akionekana along barabara ya Ali Hassan Mwinyi (Selandar, Red Cross etc). Ni miaka kadhaa sasa namwona na hicho kidonda chake.

Swali nalojiuliza; Kama ni kidonda kweli, kwa muda wote huo kitakuwa kimemuathiri kwa kiasi gani.
Kama anaomba pesa ili akakitibu, kwa miaka yote hiyo hazijatosha?
Watu wote walioonyeshwa hicho kidonda, hakuna Daktari aliyemshauri pa kwenda?

Hii inadhihirisha kuwa ombaomba baadhi ni wasaniii - so kwannini wasiwepo wachawi pia?
 
Duh, dunia vituko haviishi, yote ni staili ya maisha ....mara nyonya damu (mumiani), chuna ngozi, wakata viungo vya binadamu, wafufua misukule, watoa uchawi (manyau), wala vichwa vya watu (Musa etc) sasa wabadisha watu kuwa mapepo!..

Kiranja Mkuu, jambo jema ni kujaribu kulala room moja na mtoto kama hakuna mtu mzima wa karibu anayeweza kumfuatilia usiku na kama room yatosha kufanya hivyo bila kuathiri huduma za kawaida za ndoa kati yako na mama ambazo zaweza pia kuwa tatizo jingine kubwa kwa mtoto mkilala nae kuliko hili la kuweweseka usiku .

Kwa watoto, kauli ya kutisha inaweza kumwathiri, ikakaa kichwani mwake na kumwogopesha kwa muda mrefu, laini kinyume chake huwa ni rahisi kusahau kauli iliyo njema. Kama ni mkristu na hufanyi sara wakati wa kulala, tafadhali anza sasa kwani hata huko kwa kina Zaakari Kakobe and so like, huko kwa masakologist na akina Manyau na o wanategemea miujiza ya nguvu fulani aidha ya Mungu au Miungu!..na pengine utapewa masharti ambayo mwenyewe waweza kuyatekeleza bila wao.
 
ili ukute hawapo lbd Mh Kandoro arudi Dar lkn kwa huyu mwanasiasa hamna kitu,porojo utekelezaji ziro

Dar es salaam linahitahi Mkuu wa Mkoa aliyegangamala sio mtu wa itifaki ya kupokea wageni tu!! Lukuvi ni bishoo na majungu tu sio mtendaji na ndio maana jiji linanuka siku hizi!
 
Kiasi fulani uzushi huo utapunguza idadi ya ombaomba kwani kama watu wataendelea kuogopa kusaidi ombaomba sidhani kama wataendelea kuwakiwa jua la kutwa nzima ili hali hawapati kitu.
"Safi sana mzushi"
 
Kuna taarifa zilizagaa jijini Dar wiki iliyopita kwamba kuna tukio la kustaajabisha, kutatanisha na kama si kusikitisha lililotokea pale Salender Bridge iliyohusu ombaomba na mwanamke aliyetoweka ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kumpa ombaomba huyo 500/= ghafla akaota manyoya mkononi. Je, taarifa hizo ni za kweli au ni mbinu ya kupunguza ombamba mitaani, hususan barabarani?. Tafadhari wana JF wenye data za uhakika watupashe kwa faida ya wote wenye nia njema ya kusaidia ombaomba.
 
pole sana kiongozi, jaribu kumpa mistari ya bible kidogo kabla ya kwenda kulala inaweza ikamfanya asipate ndoto za ajabu
 
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.

oh maimai,mpe mtoto pole,kama ninyi ni wakristo hebu mkae nae mumweleweshe taratibu kua hapaswi kuogopa. mimi wangu alianza kuogopa hata ukizima taa anakuambia anaona paka anataka kumbusu, tumekaa nae na kumjulisha kua mungu ni mkuu sana na hivyo asitishike ni hadithi tu,sasa ametulia na amekua akituombea kua na sisi tusiote kama yeye.
 
Kiranja mimi nadhani na si ninadhani ila naamini huduma z amaombezi sasa suala nani akuombee. Fungua Biblia soma zaburi 65 na anaweza kukemea kwa kutumia zaburi 68 mstari wa 28 unasema ee mungu uziamuru nguvu zako... endelea na kuomba nguvu za mungu zikufunike na 69 e mungu uniokoe maana maji yamefika mpaka nafsini mwangu. Ninazama katika matope mengi... endelea mungu huitwa naye huitikia. katika masomo ya metafizikia yapo mengi na shetani huzungukazunguka kutisha watu kwa salamu au kwa maneno lakini ngome kuu ni mungu, fdungua Biblia nayo itakujibu.
 
Kuna taarifa zilizagaa jijini Dar wiki iliyopita kwamba kuna tukio la kustaajabisha, kutatanisha na kama si kusikitisha lililotokea pale Salender Bridge iliyohusu ombaomba na mwanamke aliyetoweka ktk mazingira ya kutatanisha baada ya kumpa ombaomba huyo 500/= ghafla akaota manyoya mkononi. Je, taarifa hizo ni za kweli au ni mbinu ya kupunguza ombamba mitaani, hususan barabarani?. Tafadhari wana JF wenye data za uhakika watupashe kwa faida ya wote wenye nia njema ya kusaidia ombaomba.

Taarrifa hiyo ni ya kweli. Yule omba omba ni noma na polisi wa salendar wanamjua. Alishawahi pia kuwafanyia the same thing Traffic wa Kike wa pale Salendar na wote alifanikiwa kuwamega. Hii ndio maana siku hizi pale Salendar traffic wa kike huwa hawapangwi.

We unafikiri kwa nini yule traffik alimbembeleza yule mwanamke aliyeota nywele kwenda kumpa busu yule ombaomba?

Technique iliyotumiwa ni kama ile ya wale jamaa wa CHUMA ULETE ila hii imeboreshwa kuweza kukidhi hamu ya ngono.

USHAURI KWA WANAUME
Ogopa sana ombaomba mwenye hamu ya ngono. Ni afadhali umpe fedha mara kwa mara ili achukue changudoa usiku kuliko umnyime halafu amUOMBE HELA MKEO NA SI UNAJUA INAKUWA SIO RAHISI KWA MKEO KUKATAA KUTOA HELA?
 
Back
Top Bottom