Uongo wa Mwanamke wa Daraja la Sarenda.

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,059
4,052
Uvumi wa mwanamke aliyeota manyoya na kisha kupotea umeleta athari nyingi sana.
miongoni mwa athari hizo ni kwamba wale watoaji sadaka kwa ombaomba wa maeneo ya daraja hilo na ombaomba wengine waliozagaa kwenye mitaa mingi ya jiji hili wamekuwa wazito kutoa hizo sadaka na kupelekea kipato cha maomba omba kupungua.
Mwanangu anayesoma Olympio amekuwa akiweweseka usiku kwa kuongea maneno yasiyoeleweka. Ukimwamsha na kumuuliza alikuwa anaota nini, anakwambia kuwa ameota konda kamteremsha Sarenda darajani halafu kakutana na mtu mwenye manyoya ya paka kampeleka kuzimuni.
Mwanangu amekuwa akikosa raha na amekuwa mwingi wa mawazo, kula yake imekuwa ya taabu na hana raha kabisa.
 
pole sana mkuu. lazima hii stori kapigiwa na wenzake shule huko. u have to tell him that its a liar.
 
hivi wale ombaomba
1.ni mataahira?
2.hawana wazazi?
3.kwa nini wasipelekwe kwenye vituo vya kulelea watoto?
 
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.
 
Muhimbili kufanya nini tena kaka?
hii ni hali ya kawaida na huwa inawatokea watoto mara kwa mara. hope wenye watoto wadogo wanaweza kukushuhudia hapa.
 
hivi wale ombaomba
1.ni mataahira?
2.hawana wazazi?
3.kwa nini wasipelekwe kwenye vituo vya kulelea watoto?

Ukweli wale Omba omba huwa waanikwaza sana. huwa kila siku najiuliza inawa kweli hawana hata ndugu wa mbali ambao ana uwezo kidogo kuwasaidia? sisi wengine mbona tuna ndugu huko vijijini mbao wengine ni wazee sana na wengine hawajiwezi, tunajitahidi kuwasaidia? ukweli wanakera sana. Natamani sana siku niamke nisione hata ombaomba mmoja
 
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.

Pole sana kwa huyo mtoto. huna haja ya kumpeleka muhimbili mapema hivi. kama mmejitahidi kuongea naye sana na still anaweweseka jaribu kumtafuta rafiki yake, mtoto mwenzake, na uongee naye amwambie kuwa sio kweli. sometimes watoto wanaaminiana sana ndo maana huwa wanaigana kwa mambo mengi mazuri au mabaya.
 
ili ukute hawapo lbd Mh Kandoro arudi Dar lkn kwa huyu mwanasiasa hamna kitu,porojo utekelezaji ziro
 
Hizo zote kama serikali ni ombaomba kwanini watu wake wasiwe ombaomba?? hapa ndio kuna tatizo kubwa sana maana kuna kila sababu ya kuona jinsi ya kufanya kusaidia maeneo yao wanakotoka huko na kuboresha maisha yao
 
Amekuwa psychologically affected.
mimi na mama yake tumekaa chini na kumueleza sana kuwa huo ni uvumi na uongo,
tumeongea nae kwa upendo huku tukiwa tumempeleka sehemu nzuri iliyotulia.
bado swala hilo linamtatiza sana, ndio maana mara kwa mara amekuwa akipiga kelele usiku.
jumatatu nataka nimpeleke Muhimbili.
Mwanao ana maruhani nakushauri mpeleke kwa Kakobe akaombewe na kuwa tiba yake,bwana awe naye.
 
Pole sana kwa huyo mtoto. huna haja ya kumpeleka muhimbili mapema hivi. kama mmejitahidi kuongea naye sana na still anaweweseka jaribu kumtafuta rafiki yake, mtoto mwenzake, na uongee naye amwambie kuwa sio kweli. sometimes watoto wanaaminiana sana ndo maana huwa wanaigana kwa mambo mengi mazuri au mabaya.
Ndugu,
asante sana kwa ushauri wako, nitaufanyia kazi.
 
Jaribu kulala nae kitandani. au may be anaogopa kulala peke yake chumbani au kitandani. Ikiwa hali itaendelea kwa wiki ingine may be kakumbwa na Jini. ila b4 hujawaona wataalam Tiba Asilia kwanza mpeleke Muhimbili wakamcheck maeneo muhimu.
 
Uvumi wa mwanamke aliyeota manyoya na kisha kupotea umeleta athari nyingi sana. Miongoni mwa athari hizo ni kwamba wale watoaji sadaka kwa ombaomba wa maeneo ya daraja hilo na ombaomba wengine waliozagaa kwenye mitaa mingi ya jiji hili wamekuwa wazito kutoa hizo sadaka na kupelekea kipato cha maomba omba kupungua.

Kila wakipata fedha nyingi ndio huzidi kuongezeka. Ukweli ni kwamba asilimia kubwa wanaweza kufanya kazi lakini njia rahisi ni ya kuomba. Mfano, yule albino anaeomba pale kwenye junction ya Kinondoni kwa kweli ni mzima kiafya na anaweza kufanya kazi kama albino wenzake.
 
Mkuu hujawahi sikia simba? Sio simba wa msimbazi ni simba kidawa mtu aliyeibukia kwenye kichuguu au chatu mtu wa buguruni.mtoe hofu mtoto aondoe wasiwasi japo naona nawe ushaingia mkenge una wewesekea muhimbili.matatizo yako ukiyazidisha please kamwone haraka sheee yaaya ukupandishie jini roho ipae kabsa
 
Uvumi wa mwanamke aliyeota manyoya na kisha kupotea umeleta athari nyingi sana.
miongoni mwa athari hizo ni kwamba wale watoaji sadaka kwa ombaomba wa maeneo ya daraja hilo na ombaomba wengine waliozagaa kwenye mitaa mingi ya jiji hili wamekuwa wazito kutoa hizo sadaka na kupelekea kipato cha maomba omba kupungua.
Mwanangu anayesoma Olympio amekuwa akiweweseka usiku kwa kuongea maneno yasiyoeleweka. Ukimwamsha na kumuuliza alikuwa anaota nini, anakwambia kuwa ameota konda kamteremsha Sarenda darajani halafu kakutana na mtu mwenye manyoya ya paka kampeleka kuzimuni.
Mwanangu amekuwa akikosa raha na amekuwa mwingi wa mawazo, kula yake imekuwa ya taabu na hana raha kabisa.

ha ha ha!nimecheka sana hapo nilipo bold.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom