Uongo Wa Jenerali Ulimwengu Kuhusu Ukuu wa Wilaya

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,491
2,000
Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unamfahamu vizuri Generali? Kwa wale wanaomfahamu tangu enzi za chipukizi wanaelewa kuwa hana sababu ya kusema uongo hata kidogo. Vile vile unapaswa kufahamu kuwa kazi za kisiasa hazina ukomo wa umri.
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
5,987
2,000
M
Generali nijuavyo alikuwa DC SINGIDA kwa muda mfupi na kuomba kuondoka….
Muda mfupi, lini? Mwaka gani?
Alishawahi kuwa DC kipindi cha Mwinyi au Mkapa kama sikosei kabla hajakumbwa na kashfa ya uraia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom