Uongo Wa Jenerali Ulimwengu Kuhusu Ukuu wa Wilaya

ACHENI UKUDA
1. ULIMWENGU KAZALIWA 14/04/1948 NGARA KAGERA
2.ALISOMA KAMACHUMU PRIMARY
KATOKE NA NYAKATO na
3. Tabora High school1955
4.University of East Africa 1969 - 1972
5.Akiwa mwanachama wa TANU tangu chou
6.KAZI DAILY NEWS 1972-1974
7.MWANZA AREA OFFICER 1975
8,PAN - AFRICAN YOUTH MOVEMENT - TANZANIA REPRESENTATIVE IN ALGIERS 1986-1993 TANU YOUTH LEAGUE
9.Director of Youth and Sports - Ministry of Culture and sports 1987 - 1989
10.District Commissioner 1989 -1993
11.MNEC 1992 -1997
12.MEMBER OF PARLIAMENT 1990- 1995
13.NOV 1993 Established the news paper and Chairman of Habari Cooperation
Kwa ufupi hiyooooo
 
Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie wa Lumumba nendeni.mkawasimamie watendaji watekeleze Ilani ya CCM acheni kujadili watu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ACHENI UKUDA
1. ULIMWENGU KAZALIWA 14/04/1948 NGARA KAGERA
2.ALISOMA KAMACHUMU PRIMARY
KATOKE NA NYAKATO na
3. Tabora High school1955
4.University of East Africa 1969 - 1972
5.Akiwa mwanachama wa TANU tangu chou
6.KAZI DAILY NEWS 1972-1974
7.MWANZA AREA OFFICER 1975
8,PAN - AFRICAN YOUTH MOVEMENT - TANZANIA REPRESENTATIVE IN ALGIERS 1986-1993 TANU YOUTH LEAGUE
9.Director of Youth and Sports - Ministry of Culture and sports 1987 - 1989
10.District Commissioner 1989 -1993
11.MNEC 1992 -1997
12.MEMBER OF PARLIAMENT 1990- 1995
13.NOV 1993 Established the news paper and Chairman of Habari Cooperation
Kwa ufupi hiyooooo
Una uhakika na hiyo namba 1?
 
Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe na kumbukumbu, kwani Dr. Slaa alipoteuliwa kuwa balozi alikuwa na umri gani?....nani kakwambia utawala huu unafuata sheria!...usijisahaulishe bajeti ambazo hazikuwahi kujadiliwa na kupitishwa na binge; chato airport, dreamliner+bombadier, ukuta wa mererani nk....siku hizi sheria si muhimu pale mfalme anapotaka jambo lake
 
HAWANA NYIMBO utaifa wa kila mtu fuatilia historia hakuna atakayebaki ….
 
Tumbo Tumbo au tupatupa wa Lumumba , kweli mataga mnahangaika kweli .Ndio buku saba tu hizo zinakusumbua .
 
I’ve tried to find the genesis of all this noise about me but I can’t put my finger on it.

Sent using Jamii Forums mobile app
You posted something that is pure rubbish - and hence all this noise about you. See below.

Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.
 
Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pana huu uzi leo:

jthreads/walipiga-pia-kelele-wakati-wa-mkapa-wakapiga-wakati-wa-kikwete-na-wameshasahaulika-sasa-wanaopiga-kelele-wakati-wa-jpm-nao-watasahaulika.1552130/

Nadhani pasi na jazba wengi kama bwana stomach uzi huo ulikuwa unawahusu.
 
Jenerali Ulimwengu, Ana umri wa miaka 71mpaka sasa. Sasa Wakati JPM anatoa post za maDC Ulimwengu alikua na umri wa miaka 68 muda ambao Mtumishi wa Umma keshastaafu kisheria,kusema alikataa UDC ni hadithi za kutaka sifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
muwe mnawambia wanaowatuma wawafundishe historia kwanza ulimwengu hakakataa UDC wakati wa JPM? Unakumbuka wakati wa vuguvugu la mihadhara ya kina mazinge huyo ulimwengu alikuwa DC ilala
 
Hivi unamfahamu vizuri Generali? Kwa wale wanaomfahamu tangu enzi za chipukizi wanaelewa kuwa hana sababu ya kusema uongo hata kidogo. Vile vile unapaswa kufahamu kuwa kazi za kisiasa hazina ukomo wa umri.

Mkuu kwani hawa lumumba wachumia tumbo kuna lolote wanalo lijua. Hawajui kuwa Ulimwengu alikuwa kwenye chama toka enzi za Tanu youth na alikuwemo ccm ilipoanzishwa. Na aliaminika sana na chama na serekali hadi kupewa nyadhifa mbali mbali serekalini ikiwemo ya u dc. Hivyo ni kweli kabisa hana sababu ya kusema uongo. Mkuu lumumba wa sasa hivi ni type ya bashite, usitegemee lolote.
 
Kwanza nadhani muanzisha mada hamuelewi Jenerali Ulimwengu vilivyo . Msimamo wake dhiddi ya uonevu Wa mfumo ndio ulifanya apokwe uraia . Baba waTaifa alimpenda sana kwa sababu ya bongo yake inayochemka inasadikiwa alikua akimwandikia hotuba ila si Ulimwengu wala Mwalimu amewahi kutamka hilo. Wakati Mkapa anatangaza nia ya urais Ulimwengu na Warioba ndio walikuwa wapambe wake pale Kilimanjaro Hotel. Mkapa a lip plays urais alimteua kuwa Mkuu Wa Mkoa, akamkatalia kwa maana kwamba alitaka kujiajiri. Hii taarifa niliisoma kwenye moja ya makala zake miaka 90. Tatizo LA Ulimwengu lilikuja pale alipoibua kwenye gazeti la Raia ufisadi Wa matibabu ya mke Wa Waziri Wa Mkapa Hans Kitine ambaye hapo kabla alikuwa mkurugenzi Wa usalama Wa Taifa. Hapo ndipo alichimbwa hadi akanyang'anywa uraia . Lakini alipoa akakubali kuomba uraia akapewa , ila makala zake hajawahi kuwa mlamba viatu. Vyeo vilvyotajwa hapo juu vyote Alisha vishika nchi hii tulopokuwa taifa LA wastaarabu. Leo ukiandika au kusema kinyume na utawala unaambiwa sio RAIA. Lakini kusema Magufuli alimteua umeitoa wapi au unanogesha soga Aliukataa Wa Mkapa bado ana nguvu nyingi Leo ameanza kuchoka alilie ukuu Wa Wilaya Wa JPM, ni uongo. Halafu hata kama angemteua kuna kosa gani kwani mabalozi si wanastafu miaka 60 kama watumishi Wa umma, mbona Dk Slaa ameteuliwa ubalozi akiwa na zaidi ya miaka 70 na anautumikia . ukipenda kuandika sana nakushauri uwe msomaji mzuri ili uwe na knowledge ya kutosha, humu kuna wanaojua vitu watakuona huyu ni debe tupu hajui kitu. Huo ndio uelewa wangu Wa Jenerali(ambaye bahati mbaya watu wanadhani ni mjshi kumbe lile ni jina lake tu). Integrity ya Ulimwengu huwezi kuitarnish kwa maandiko hafifu. Nakumbuka akiwa mbunge alikuwa moto kwa hoja. Nadhani ndiye aliyetoa hoja binafsi ya kurudisha haidhuru miiko ya viongozi wawe waadilifu na mswada ule ulupita bila kupingwa,hiyo ilikuwa baada ya Azimio la Zanzibar.Niko tayari kukosolewa sikumbuki mbunge aliyetoa private motion ikapitishwa kuwa sheria,mniambie. Yule ni sauti ya wasio na sauti kwa hotuba na maandishi bila kuyumba . Anaheshimika duniani kwa msimamo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

Muda mfupi, lini? Mwaka gani?
Alishawahi kuwa DC kipindi cha Mwinyi au Mkapa kama sikosei kabla hajakumbwa na kashfa ya uraia.

Vijana, Jenerali siyo saizi yenu kwa namna yoyote ile. Kaeni mbali sana naye. Labda kama unataka kuchota elimu kutoka kwake. Kama ni ukada wa ccm yeye ni zaidi. Hawa ndiyo vijana wa nchi hii waliokunywa chai na Nyerere na kumuelewa. Kero yao kubwa ni kuona watu wanaojitambulisha kuwa wanamuenzi Nyerere wakifanya mambo ambayo Nyerere asingevumilia hata kwa siku moja. Tofauti yake na ninyi ni kwamba amekwenda shule na kuelimika. Wengi wetu sisi tumehitimu tu madarasa pasipo kuelimika. Kwa taarifa yenu Jenerali alikuwa dc Singida, Hai na Dar. Akiwa dc alipata pia Ubunge wa viti vya vijana kama ambavyo Mzee Lowassa naye aliingia bungeni kwa mara ya kwanza kwa mlango huo. Lakini akiwa bungeni akapata changamoto ya kulazimika kutetea serikali kwani kwa U-dc wake yeye na Wakuu wa Mikoa yote ambao kipindi hicho walikuwa ni wabunge pia walipaswa kutetea serikali. Yeye alijua kazi ya Mbunge ni kuisimamia serikali; siyo kuitetea! Akaamua kuachia U-dc ili awe Mbunge huru.
 
Back
Top Bottom