Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,531
- 69,444
Habari za Yesu zinanishangaza sana, yaani Nje ya Biblia hakuna mahali pengine unaweza kuzipata, kana kwamba nyakati zake hakukuwa na watu.Dini zote ni uongo.
Biblia ni uongo.
Quran ni uongo pro max.
Hakuna Allah.
Hakuna Yesu.
Hakuna Mungu.
Hakuna Shetani.
Who told you kwamba tito ni nabii?Ndiyo mafundisho ya Nabii wako Tito?
Mashaka yetu ni ya kibinadamuHabari za Yesu zinanishangaza sana, yaani Nje ya Biblia hakuna mahali pengine unaweza kuzipata, kana kwamba nyakati zake hakukuwa na watu.
Akina Herode na kina Nebkadineza hadi leo Picha zao zipo ila za Yesu zimebaki ni za kubuni tu.
Ukuu wa Mungu nao ni wa nashaka sana, Shetani ni kama amenzidi nguvu. Maovu na waovu ni wengi kuliko watu wema.
Maafa kil leo na Mungu hawezi kuzuia, mafuriko, matetemeko, ukame na njaa vinaendelea kutia ushahidi na mashaka juu ya Uwepo na Ukuu wa Mungu.
Siasa za hovyo za kuuana na kutekana na bado siasa za kidini zinasema Watawala hutoka kwa Mungu. Hii maana yake Biblia ni kitabu kilichotungwa na wajanja kufanya Manipulation ya watu
Wewe hiyo AI, ChatGPT unayotumia inakufanya ushindwe kufikiri.Hoja za kuwepo kwa Mungu hazina madhara ya non-sequitur, kwa sababu zinatokana na dalili halisi zinazohusiana na sifa za uumbaji.
Kwa mfano:
1.
- Kila kitu kinachoundwa kina muundo, mpangilio, na mfumo (mfano: sayari, nyota, viumbe hai).
- Mfumo huu una ishara ya Muumba mwenye akili na nguvu, kwa sababu jambo lisilo na mpangilio halitumii lengo au uthabiti.
- Hivyo, hitimisho (Mungu aliumba ulimwengu) linafuata kiasili kutoka kwa mashahidi haya. Si hitimisho lisilo na msingi, bali inategemea mashahidi ya kiasili.
2.
- Waislamu hutumia hoja za kiwajibikaji (causal arguments) na hoja za teleological (mpangilio na lengo) kuonyesha uwepo wa Muumba.
- Wanaosema “non-sequitur” mara nyingi wanazingatia uwepo wa Mungu kama kitu cha kimwili.
- Lakini katika falsafa ya kiislamu, Mungu ni kiumbe wa kiroho, asiye na wiani, hivyo hitimisho linafuata, lakini si kwa sura ya kimwili.
3.
- “Kuona mpangilio, sababu, na lengo katika ulimwengu ni kuona ishara za Muumba. Hitimisho hili si non-sequitur, bali linafuata ushahidi kwa mantiki.”
Hizo dawa tayari zimefanyiwa utafiti wa kitaalamu, ndio maana zinatambulika kupunguza maumivu.Kwaio mwenzetu wewr unaishi kwa kuthibitisha kila kitu? Kwaio hata ukiemda kununua dawa ya maumivi pharmacy unaenda nayo nyumbani unaipima kwa asilimia ngapi inaponyesha maumivu?,asilimia ngapi itafanya muscles zako zipimzike, asilimia ngapi, itakuongezea nguvu nk....
Mwamedi aliyeota aanzishe dini alikuja na ushahidi gani zaidi ya domo tu?Ungalitujibu kwa ushahidi wa vitabu , domo tu lililoshiba vyakula vya new year halitoshi
Ni kwa sababu hujaziba Choo tu , Si ukiwa hunyi pamoja na dawa unaanza kumkumbuka Mungu.Wewe hiyo AI, ChatGPT unayotumia inakufanya ushindwe kufikiri.
Kama huyo Mungu ni imani tu, basi hayupo kwenye uhalisia.
Mungu huyo ni imani uchwara za kufikirika na kusadikika.
Ndivyo injili yako ilivyoandika?Mwamedi aliyeota aanzishe dini alikuja na ushahidi gani zaidi ya domo tu?
Kutokujua kitu kipo, hakufanyi kitu hicho kisiwepo.Lakini hivyo vifaa vimekuja juzi tu
Watu wa kale walijuaje kuwa upepo upo?
Ahaa Kwa hyo unataka siku kije kifaa Cha kumpima mungu kama yupo?hayaaaKutokujua kitu kipo, hakufanyi kitu hicho kisiwepo.
Kuna vitu vingi vipo, lakini mpaka leo hii hatujui kama vipo.
Mpaka tafiti zifanyike ndipo tunagundua uwepo wa vitu ambavyo tulikuwa hatujui kama vipo.
Kwa hiyo, upepo ulikuwepo hata kama watu wa kale hawakujua.
Huyo Mungu anayekumbukwa na maelfu ya watu, lakini hana msaada wowote kwao, Ni Mungu gani huyo?Ni kwa sababu hujaziba Choo tu , Si ukiwa hunyi pamoja na dawa unaanza kumkumbuka Mungu.
Mungu ni imani tu vipi ? Hivi kila kitu kinajiendea ovyo tu ?
Wewe ambaye unasema Mungu yupo, ulijuaje yupo?Ahaa Kwa hyo unataka siku kije kifaa Cha kumpima mungu kama yupo?hayaaa
injili haiwezi andika wazush na matapeli waliozuka na kaanzisha dini na kuwadanganya waumini wao kuwa wakiwaamini wataenda kunywa pombe na kutoma malaya 72 huko kaburiniNdivyo injili yako ilivyoandika?
Ndivyo anavyowaambia Nabii wenu Tito??injili haiwezi andika wazush na matapeli waliozuka na kaanzisha dini na kuwadanganya waumini wao kuwa wakiwaamini wataenda kunywa pombe na kutoma malaya 72 huko kaburini
kwani tito na tapeli mwamedi wametofautiana niniNdivyo anavyowaambia Nabii wenu Tito??
Ndivyo mnavyotuambia kuwa ni Nabii wenu , Inakuaje Leo unajaribu kumkachaWho told you kwamba tito ni nabii?
Au hayo ndio mafundisho ya sheikh sule?
Tofauti ni kuwa unamtambua Tito Kama ni Nabii wakokwani tito na tapeli mwamedi wametofautiana nini
Huyo Mungu anayekumbukwa na maelfu ya watu, lakini hana msaada wowote kwao, Ni Mungu gani huyo?
Maelfu ya watu wanateseka, wanaumwa na wengine wanaishia kufa tu, licha ya kumtegemea huyo Mungu hawapati msaada wowote.
Huyo Mungu HANA msaada wowote kwa mtu yeyote yule.
Huyo Mungu kama yupo aanze kwanza kuwasaidia maelfu ya wanawake na watoto wanaokufa duniani kwa njaa, vita, magonjwa na majanga ya asili.
View attachment 3523900
Kwa hiyo:“Yeye ndiye aliyeumba mauti na uhai ili awajaribu ni nani miongoni mwenu mwenye matendo mema zaidi.”
(Qur’an 67:2)
“Huenda mkachukia kitu nacho ni kheri kwenu.”
(Qur’an 2:216)
Mtu anayeteseka kwa subira atalipwa malipo yasiyo na kifani.Akhera ndiyo mahakama ya mwisho
Lakini unaweza kuandikwa kuwa nyingi wengine mumezaliwa mashoga , au vipi?injili haiwezi andika wazush na matapeli waliozuka na kaanzisha dini na kuwadanganya waumini wao kuwa wakiwaamini wataenda kunywa pombe na kutoma malaya 72 huko kaburini