Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Sio tu haonekani bali hayupo kwa namna yoyote ile.
Kuna vitu vingi havionekani lakini vipo. mfano upepo. Hauonekani lakini upo.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Wewe ChartGtp , imekupiga BAN ?? kuanzia lini ??Wewe ni mpuuzi, badala usome vitabu unaenda kuiambia ChatGPT ikupe mambo unayotaka kuyasikia.
Sasa umejuaje kuwa upepo upo?Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Sio tu haonekani bali hayupo kwa namna yoyote ile.
Kuna vitu vingi havionekani lakini vipo. mfano upepo. Hauonekani lakini upo.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile.
Hii ni logical fallacy ya non-sequitur.
- Kutofanana na vitu vya wiani , "dhahiri" (physical existence)
Waislamu wanatofautisha kati ya vitu vinavyoweza kupatikana katika wiani (physical existence) na kiumbe wa kiroho (metaphysical being). Vitu kama upepo vinavyoonekana kutokuwa na sura ni vingi, lakini bado vina sifa zinazoweza kupimwaβvina kasi, nguvu, na athariβambazo zinaweza kuhisiwa au kuonyeshwa.
Kwa upande mwingine, Mungu (Allah) ni mwenye sifa zote za kamilifu, isiyo na mwisho, isiyoweza kufungwa katika sura, mahali, au wakati. Kusema βhayupoβ kwa sababu hatuna sura ya kuona ni kutoelewa tofauti ya uwepo wa kiroho. Uwepo wa Mungu hauna sura, lakini sio kwamba haipo; ni uwepo wa kiroho na wa kudumu.
- Dalili za kuwepo:
Katika Quran, kando na hadithi za Manabii, kuna hoja za kifalsafa zinazotumia maumbilekama dalili za kuwepo kwa Mungu:
- Uumbaji wa dunia una mpangilio, mpangilio wa sayari, mwendo wa nyota, na viumbe haiβhivyo kuna Muumba aliye na hekima na nguvu.
- Kila kitu kisicho kioo cha macho kina dalili ya Muumba wake. Quran inasema: βKatika uumbaji wa mbingu na dunia na mabadiliko ya usiku na mchana, katika meli zinazopita baharini kwa manufaa ya watu, na mvua inayotoka kutoka mbinguniβ¦ kuna ishara kwa wenye akiliβ (Surah Al-Imran 3:190).
- Uwepo wa Mungu si wa wiani:
Waislamu wanapinga hoja inayosema βKuna vitu vingi havionekani lakini vipo, hivyo Mungu pia haipo.β Kwa sababu uwepo wa Allah ni wa kiroho, si wa kimwili, kwa hivyo hatuwezi kulinganisha uwepo wake na upepo au maumbo yasiyoonekana. Mungu hayupo kama kitu ndani ya nafasi (space) au muda (time), bali anazidi yote haya.
- Hitimisho la kifalsafa:
Waislamu wanasema: kutoona kitu si kuthibitisha kutokuwepo kwake. Uwepo wa Mungu unaelezewa kupitia athari zake, sifa zake zisizo na mwisho, na ushahidi wa uumbaji.- Kufikiri Mungu hayupo kwa sababu hatuwezi kuiona ni hoja isiyo sahihi kifalsafa.
Upepo unapimika kwa vifaa maalumu na kujulikana upo.K
Sasa umejuaje kuwa upepo upo?
Hii ni logical fallacy ya non-sequitur.
Una unganisha vitu ambavyo havina uhusiano wowote kuunda hitimisho potofu.
Unatumia vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence kuvihusisha na huyo Allah wako wa kufikirika.
Non Sequitur Non Sequitur
Source: Wikipedia Non sequitur - Wikipedia
Lakini hivyo vifaa vimekuja juzi tuUpepo unapimika kwa vifaa maalumu na kujulikana upo.
Wind vane na Anemometer ni vifaa maalumu vya kupima upepo.
Huyo Mungu hayupo kwa namna yoyote ile zaidi ya hadithi uchwara za vitabuni na imani za kusadikika.
Mungu wa Kwenye vitabu hana tofauti na Abunuwasi wa Kwenye hekaya zake.
Maandiko yako haya ni sahihi. Na katika maandiko haya sijauona huo uwongo wa injili ya Luka.Uwe unasoma bila jaziba , mimi nimekuwekea Uongo wa Injili ya Luka , sisemi mimi ,
1.
- Mathayo 2:1 inasema Yesu alizaliwa wakati wa Mfalme Herode Mkuu.
- Luka 2:1-2 inataja kwamba Yesu alizaliwa wakati wa oda ya usajili chini ya Kaisari Agustusi.
Hizi taarifa zinatoa vidokezo vya kihistoria ambavyo watafiti hutumia kukadiria mwaka:
2.
- Herode alikufa mwaka wa kuanzia 4 KK au 1 KK kulingana na baadhi ya rekodi za kihistoria (Josephus).
- Ikiwa Yesu alizaliwa wakati wa Herode, hiyo inaashiria kuzaliwa kabla ya kifo cha Herode, kwa hivyo wengi wanaweka mwaka wa kuzaliwa kati ya 6β4 KK.
3.
- Luka anataja usajili wa watu wakati wa Kaisari Agustusi. Watafiti wanasema hii inaweza kuashiria mwaka karibu 6β4 KK, kulingana na rekodi za usajili wa Kiroma.
4.
- Krismasi inaadhimishwa tarehe 25 Desemba, lakini hii haimaanishi tarehe halisi ya kuzaliwa kwake. Tarehe hii ilichaguliwa karne za kwanza na za pili kuendana na sikukuu za jua za Roma (Sol Invictus).
5.
- Maoni ya Kawaida: 4β6 KK.
- Watafiti wengine: Baadhi wanasema 7 KK, kulingana na tafsiri ya rekodi za Herode na nyota ya Wamagi.
- Sababu ya tofauti: Kutokuwepo kwa maandiko ya moja kwa moja ya mwaka, na tofauti kati ya Injili za Mathayo na Luka.
Kwa kifupi, Biblia haelezi mwaka kamili wa kuzaliwa Yesu, lakini kwa kutumia vidokezo vya kihistoria, watafiti wengi wanakisia kati ya 6β4 kabla ya kuzaliwa kwa Kristo (KK).
Maandiko yako haya ni sahihi. Na katika maandiko haya sijauona huo uwongo wa injili ya Luka.
Unapolisoma.neno la Mungu zingatia mktadha wa andiko, na siyo vitu vidogo vidogo kama tarehe.
Fahamu yafuatayo:
1. Yesu alipoondoka hakuacha injili iliyoandikwa, injili iliachwa kwenye mafundisho aliyowapa mitume wake. Na hawa mitume, hata walipoenda maeneo ya nchi mbalimbali, walilenga zaidi kuwabadilisha watu na kuwa wakristo kwa kuzingatia maagizo ya Kristo, hawakulenga kwenda kuwasimlia watu tukio moja moja na wakati lilipofanyika. Injili katika muundo iliopo sasa, kwa mara ya kwanza ilikuwa karibia miaka 30 baadaye, ikilenga kuwajulisha watu juu ya historia ya wokovu wa mwanadamu.
Ndiyo maana injili za waandishi wote wanne, hawatofautiani kabisa kuhusu msingi wa mafundi sho ya Kristo. Wote wameandika maagizo ya Kristo:.
UPENDO
MSAMAHA
Na kisha wote wameandika kuhusu matukio makuu
KUSULIBIWA KWA KRISTO
KUFUFUKA
KUPAA MBINGUNI
Ufahamu kuwa matukio haya yalitokea wakati hii kalenda ya sasa haikuwepo, walikuwa na namna yao ya kuhesabu siku, miezi na miaka. Kuashiria kipindi fulani na siyo tarehe, walitumia zaidi vizazi, na kizazi kimoja ilikuwa ni miaka kati ya 35-40 ya sasa. Ni mara chache kwa wasomi wachache walitumia kalenda za Mesolithic Lunar calenda. Kuna kumbukumbu nyingine za simulizi ambazo hazipo ndani ya biblia, ni kwamba Yesu Kristo alisulibiwa tarehe ambayo Bikira Maria alipewa ujumbe wa kupata mimba kwa ujumbe wa malaika. Na tarehe ambayo Yesu alisulibiwa ni tarehe 14 mwezi Nisan, mwezi Nisan, ni mwezi wa March kwa sasa. Hivyo ukiongeza miezi 9, inaangukia mwezi December. Lakini bado haikupi uhakika wa 100% juu ya tarehe. Kipindi hicho cha mwezi December kinawianika na kipindi ambacho wachungaji wa mifugo walikuwa wakipeleka mifugo yao maeneo hayo.lakini cha kuzingatia ni kuwa hata kama ingekuwa ni exactly the same date, bado haimaanishi ndiyo siku aliyozaliwa, hiyo ni kumbukumbu ya tukio la miaka mingi, hivyo hakuna ubaya kama kufanya tarehe yoyote ndani ya kioindi husika.
Kuna maandiko mengine nje ya biblia, nadhani ni andiko la ushuhuda wa Yohana juu ya Bikira Maria kupaa mbinguni, Maria alipewa habari ya kupata mimba, siku ya kwanza ya juma, Yesu alizaliwa siku ya kwanza ya juma, na alifufuka siku ya kwanza ya juma.
Tarehe ambayo ipo kwenye kumbukumbu, ni tarehe ya kusulibiwa Yesu Kristo, ambayo inatajwa kuwa ni tarehe 14 mwezi Nisan, ambayo kwa sasa wanasema ni kama tarehe 3 ya mwezi March. Lakini adhimisho la tarehe ya pasaka hubadilika badilika ili kuzipata zile siku 4 muhimu: Alhamis Kuu, Ijumaa Kuu, Jumamisi, Jumapili.
NB. Soma maandiko ya imani kwa lengo la kutaka kujua Mungu anataka ufanye nini ili kuyaishi mapenzi yake. Mengine ni nyongeza kwaajili ya kukuimarisha katika kutimiza ulichoagizwa.

Umeandika : Yesu alipoondoka hakuacha injili iliyoandikwa, injili iliachwa kwenye mafundisho aliyowapa mitume wake. Na hawa mitume, hata walipoenda maeneo ya nchi mbalimbali, walilenga zaidi kuwabadilisha watu na kuwa wakristo kwa kuzingatia maagizo ya Kristo, hawakulenga kwenda kuwasimlia watu tukio moja moja na wakati lilipofanyika.
Swali :
Aya gani inayosema Luka alikuwa Mtume ??
Sihitaji kukuonesha aya kwa sababu inafahamika wazi kuwa katika wale wainjili 4, ni Mathayo na Yohana, pekee ndio walikuwa mitume waliochaguliwa na Yesu Kristo mwenyewe.
Mwinjili Marko alikuwa miongoni mwa wafuasi wa mitume wa mwanzo kabisa. Na Marko alikuwa mfuasi wa karibu na msaidizi wa mtume Petro, na injili yake ni simulizi za mtume Petro aliyeishi na Yesu.
Mwinjili Luka, mwinjili pekee ambaye hakuwa myahudi, huyu alitkuwa daktari, akitokea Antokia, naye alikuwa miongoni wa wafuasi wa mwanzo kabisa wa mitume, yeye pamoja na Timotheo wakiwa wasaidizi wa Paulo mtume. Naye maelezo yake yalikuwa ni maelezo ya kutoka kwa mitume walioishi na Yesu. Usomi wake ulimsaidia kuandika kwa kifupi lakini matukio yote yaliyotajwa na waandishi wengine wa injili.
Kwani kuna mahali nilikuambia kuwa Luka alikuwa miongoni mwa mitume 12 wa Yesu? Sijasema hivyo popote.Kwa hivyo unakubali Luka hakuwa mwanafunzi katika wanafunzi 12 wa Yesu ?
We ni bangiLinalosema hivyo ni domo lako lilishiba makende ya Kirismasi na New Year kama unaendelea kuyatapika , ruhusa kutapika
We ni bangi
Umeandika nini hapo
Lakini mathayo aliandika hiyo miaka miasita kabla ya uzushi na wala hakujipa utume na kadanganya umma kuwa katelemshiwa kama mzushi mwamediUongo wa Injili ya Luka
Hapa kuna mifano muhimu inayoonyesha kwamba Injili ya Luka si historia sahihi, bali ina makosa, upotoshaji, na hadithi zilizorekebishwa:
1. Luka hakuwahi kuwa shahidi wa macho (Luka 1:1β4)
Luka 1:1β2
π Tatizo:
β‘οΈ Hii peke yake inaondoa dai la ufunuo wa moja kwa moja kutoka kwa Mungu.
- Luka anakiri wazi hakuwa shahidi wa macho
- Anategemea habari alizosikia kutoka kwa wengine
2. Sensa ya Kirumi β kosa la kihistoria (Luka 2:1β2)
Luka 2:1β2
π Tatizo kubwa:
β‘οΈ Haiwezekani kihistoria.
- Kirenio alikuwa liwali wa Shamu mwaka 6 BK
- Herode Mkuu alikufa 4 KK
- Yesu anadaiwa kuzaliwa kabla ya kifo cha Herode
Luka amechanganya matukio ya miaka tofauti.
3. Safari ya Bethlehemu β kinyume na mantiki ya sensa
Luka anasema:
π Tatizo:
- Yosefu alisafiri kutoka Nazareti hadi Bethlehemu
- Kwa sababu ya sensa
β‘οΈ Hadithi imetungwa ili Yesu azaliwe Bethlehemu (Daudi).
- Sensa ya Kirumi ilifanyika mahali mtu anaishi, si mahali pa babu wa miaka 1000 iliyopita
- Hakuna ushahidi wa sensa kama hiyo katika historia ya Roma
4. Nasaba ya Yesu β inapingana na Mathayo
π Nasaba mbili tofauti, majina tofauti, baba tofauti wa Yosefu.
- Mathayo 1: Nasaba kupitia Sulemani
- Luka 3: Nasaba kupitia Nathani
β‘οΈ Zote haziwezi kuwa sahihi.
5. Malaika na miujiza ya kuzaliwa β hadithi ya kiibada
Luka pekee ndiye anayetaja:
π Hakuna:
- Malaika Gabrieli kwa Mariamu
- Malaika kwa wachungaji
- Wimbo wa malaika angani
β‘οΈ Hadithi za kuongeza utukufu wa kidini, si historia.
- Marko
- Yohana
- Paulo
6. Yesu hekaluni akiwa na miaka 12 (Luka 2:41β52)
π Hadithi hii:
β‘οΈ Inalingana na hadithi za mashujaa wa dini, si wasifu wa kihistoria.
- Haipo katika Injili nyingine
- Haina ushahidi wa nje
- Inamwonyesha Yesu akiwa na hekima ya ajabu tangu utotoni
7. Kifo cha Yesu β Luka anabadilisha simulizi
π Luka anapunguza maumivu na udhaifu, ili Yesu aonekane mtulivu zaidi.
- Marko & Mathayo: Yesu analia kwa sauti ya kukata tamaa
- Luka 23:46:
β‘οΈ Hii ni teolojia, si historia.
Hitimisho
Luka:
π Hii si Injili ya Mungu, bali ni maandishi ya binadamu.
- Anakiri si shahidi
- Anakosea historia ya Kirumi
- Anapingana na Mathayo
- Anaongeza hadithi za miujiza ya kuzaliwa
- Anarekebisha simulizi ili kulinda imani
Kwaio mwenzetu wewr unaishi kwa kuthibitisha kila kitu? Kwaio hata ukiemda kununua dawa ya maumivi pharmacy unaenda nayo nyumbani unaipima kwa asilimia ngapi inaponyesha maumivu?,asilimia ngapi itafanya muscles zako zipimzike, asilimia ngapi, itakuongezea nguvu nk....Thibitisha.