kadakokigondile
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 1,872
- 635
Mependa kicheko.....wewe unadanganya vipi?
Jamani mi nnacheka tuu, maana kicheko kinaongeza uhai stress inakimbia
Mependa kicheko.....wewe unadanganya vipi?
Jamani mi nnacheka tuu, maana kicheko kinaongeza uhai stress inakimbia
Uwiiiiii tobaaaaaaaaa,Mie nathema aliyekuja ni doto...
uncle kavuruga khabarii
Uwiiii nilikuwa natafuta usingizi nimecheka hadi naanza upya.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Uongo mwengine noma sana....lazima ajione mdogo kama kidonge cha piritoni lol
Aliamua kumuadhibu kisakolojia!!!!
Bass akuuliza hivo halafu anakwambia kaendelee na kazi!
Ukute mjomba kaenda kumsalim mpwa wake kwa upendo wote....
hahahaaaaa,katika kujitetea maana hapo haja zotezinapisha hodi,chezea ajira weweeAhhahahahah walikua twins eeeh....wewe mkali
tihi tihiiiiii ukisikia kikohozi tu unaitika naaaam bosiNdio dawa ya muongo...hiyo adhabu sio ndogo