- Thread starter
- #41
na bosi usikute kampa ukweli kuwa mpwa wake kashamfutia uhai
Hhahahhahh maskini mjomba....
na bosi usikute kampa ukweli kuwa mpwa wake kashamfutia uhai
Na siye wenye extended families.... Lakini hizi hadithi zipo Bongo tushazoea sana !!
Ningekuwa mimi naondoka nje na kazi basi
Hahahahhaha jamaa kaumbuka lol