"Uongo katika mapenzi"

"Uongo katika mapenzi"

Ila we ulishamdanganya mpenzi wako.... Hebu niambie zipi ni hasara za kuwa mkweli wakati wote ktk Mapenzi?

Ole wako unidanganye nakupa kelebu matatra
Hakuna hasara yoyote ktk ukweli
 
Hakuna hasara yoyote ktk ukweli
He hee we ruka kimanga tu nitakukamata.

Hivi ni sahihi kuwa muongo wakati wote ktk mapenzi

mf. kudanganya mshahara,mtoto wa nje ya ndoa n.k
 
Wewe uongo ni mtaji katika mapenzi kwa sasa

Ha ha ha mtu anaona kabisa mambo tight anataka umpatie mazuri kila siku ama uwe na mafanikio kila siku..

Hawezi kuwa support katika dark days...

Hana ufahamu juu yeye mwenyewe na her capacities

Anataka ufanikiwe tu kwa kila jambo ..

Kwa ufupi yeye yupo nyuma yako kukusukuma sukuma na kuna wakati anaongea kauli za kimbuzi....

Mfano "hauna hela chukua time", ama siwezi kuolewa na mtu asiye na hela"

- LOL kuna mtu amezaliwa na hela??
Ama yupo aliyekufa akaenda na hela...

I know NWO is all about cha ching $$$$ cheddar, moller, green , dead presidents but be smart mah fakah coz during the storm you still can hold on.... coz kilichokufanya upate au kitachofanya upate cha ching ni personality yako... pesa ni matokea ya continuing struggles through the darkness and during better days

Mtu kama huyo hata akidangaywa na kumegwa kisha kuachwa ni halali yake maaana hajitambui anataka kutumia jinsia yake kama mtaji..

Kwa hali halisi majority ya jamii ya kitanzania we under extreme poverty ukitaka heaven you will end up being lied and balled aloud!

To all special ladies who are imagining big life with the idea of being a woman as a advantage...

Get a grip mahfakah!
 
He hee we ruka kimanga tu nitakukamata.

Hivi ni sahihi kuwa muongo wakati wote ktk mapenzi

mf. kudanganya mshahara,mtoto wa nje ya ndoa n.k
Sio sahihi kabisa.

Mshahara au kipato mke au mume lazima kiwekwe wazi na kila mmoja akifahamu.

Mtoto wa nje ya ndoa ambae umezaa kabla ya kuoa mwanamke mwingine au ukiwa ktk ndoa alafu unakua na michepuko then unazaa? Ukizaa kabla ya ndoa na ukapata mwanamke mwingine ukaowa sio vzr kumficha huyo mtoto na ukiwa ktk ndoa ukachepuka nje ni vema kumficha huyo mtoto maana timbwili lake ni shida! Kwa wanawake wengine na yeye anapigwa mimba huko nje alafu anakuletea mtoto ndani lilefuuu wakati wewe kidingi kibushuti.

Usichokipenda wewe usimfanyie mwezio siku akikufanyia wewe utaomba ardhi ipasuke
 
Katika mahusiano yako ushasema Uongo ambao Kama Ungesema kweli Uhusiano ungeweza kuvunjika Au kugombana Na mwenzio?
 
Hapana sijawahi
Chukulia bora kipi mpenzi kukudanganya au kusema ukweli.

...unampenda na unataka awe mkeo Ila kashatembea na wanaume 40 , na kutoa mimba kibao bora akudanganye au aseme ukweli?
 
Kwanza ukipata binti lazima muyasahau yote ya nyuma yani hizo mastori kwamba alitembea na bus la Costa lote au vipi wewe sijui ulimaliza bweni zima la wanafunzi wa kike hizo zote mnazipiga chini. Na mnaanza fresh kabisa. Ila kuanzia hapo hizo hbr za kuchepeka ni marikufu.

Kwa kifupi ni kwamba sitomuuliza yaliyopita nitakomaa nimpe maloveee nimjali mpk wale wote wa kwenye Costa awasahau na akiri mwenyewe kwa kinywa chake kua wewe ni chiboko.
 
Waswahili wanasemaga hivi ukimchnguza bata huwezi mla... Shaulilo my Valley
 
Kwanza ukipata binti lazima muyasahau yote ya nyuma yani hizo mastori kwamba alitembea na bus la Costa lote au vipi wewe sijui ulimaliza bweni zima la wanafunzi wa kike hizo zote mnazipiga chini. Na mnaanza fresh kabisa. Ila kuanzia hapo hizo hbr za kuchepeka ni marikufu.

Kwa kifupi ni kwamba sitomuuliza yaliyopita nitakomaa nimpe maloveee nimjali mpk wale wote wa kwenye Costa awasahau na akiri mwenyewe kwa kinywa chake kua wewe ni chiboko.
Ha haa nimependa hapo umpe malovee asahau wa kosta....

Umejiandaaje kisaikologia pale ambapo mpenz wako au mwenza wako atakapoloose trust na wewe?
 
Sbbu kubwa ya mwenza kulose trust ni michepuko. Lkn ukiwa ktk njia kuu haiwezi tokea.
 
Sasa kwakua muda sio rafiki,macho yanaanza kupoteza mawasiliano naomba kwaleo tuishie hapa. Japo natamani tuingie ndani zaidi muda umetuwekea ukuta,hata maswali ya chumbani leo ngoja nikusamehe yasiwepo.

Mi nakushukuru kwa uitikio wako mana nilikustua tu gafla na ukawa tayari....

Uwe na usiku mwema,tukutane tena panapo majaaliwa...

Tchao
 
Asante sn my Valley.

Usisite tena kwa Mara ingine kunialika ktk mastori ya mchagoni....

Pamoja sn na usiku mwema na Mungu akubariki.
 
Back
Top Bottom