Uoga wa Serikali/CCM

Wakuu mna nyeo gani pale lumumba? Hasa wewe Ngedere utakuwa unafukuzia nafasi ya Slowslow bila shaka!
Cheo changu ni kuwasakama dunderheads wanaosaka kiki za msimu.
 
Pale Ufipa wewe na una nyeo gani?
Wewe cheo chako kinachokupofusha ubongo wako ni usukuma tu!Na sasa imethibitika mmeo ni mrundi, jiandae wewe na mke mwenza Bashite kubadilisha kabila/utaifa!
 
Kasome ulicho andika mwenyewe July 18,2017!
Your u-turn about Magufuli inamshangaza kila mtu!

Hakuna u-ey yoyote ile.

Kilichopo ni vichwa vyenu vilivyo vigumu tu.

Magufuli nikiona kuna sehemu au jambo kakosea, nitamchana tu. Iwe leo, kesho, keshokutwa, au mtondogoo.

Kwa hiyo hakuna u-ey ya aina yoyote ile. Niliyoyaandika mwaka jana, mwaka juzi, juu ya Magufuli bado yanasimama.

Kama nilisema hafai kuwa rais mwaka jana, hata mwaka huu msimamo wangu bado ni ule ule.

Sasa ni kipi nilichobadilika kuhusu Magufuli?

Nimeshasema wazi humu tena mara lukuki kuwa akipatia sehemu nitampongeza. Akikosea nitamchana.

Vivyo hivyo kwa CHADEMA.

Majuzi tu hapa sikukubaliana naye kuhusu kuwanyima fursa ya kuendelea na masomo wasichana wanaopata mimba wakiwa shule ya msingi.

So you don’t know whatchu talkin bout!
 

Haya mkuu
Ubarikiwe sana!
 
Kuna watu roho zao zinataka kuacha miili Tareh 26...wanatafuta sababu za vifo vyao...hakuna kifo kisicho na sababu...wamayemwita shujaa....anapigana kwa vidole....yupo kwa pua ndefu kakaa mbali na harudi hapa kamwe.

Ni hatari binadamu kukosa chini na juu...yaaani hana kao maaalumu.

Waoga wote....hupiga kelele za kushinda vita kumbe wameshashindwa....
Uhaini....ni kesi Mbaya sana...wanchofanyiwa wawapo kizuizini kinatisha sana...
Hata USA...anawahaini wake pale Guantanamo bay...anachowafanya wanajia wenyewe.
Mbona ICc
Wanashuhudia na hawaongei.
Tawala za Duniani haziogopi kunnyonga vimbembele kwa sababu....viti vya Tawala zote za Dunia hii ni mafuvu ya wajinga na wabishi na wanaotishia usalama.
Uwapo Duniani achana na kuchonga mdomo

Mungu ni wa huruma sana akatupa akili ili tusiige maovu.

Maandamano ya kiovu hayana nafasi
Wasiombe kujifanya watoe pua barabarani...
Watakutana na kila aina ya kipigo.
 
Mbona hamshangai Mbowe anavyopiga u turns kila kukicha?

Halafu mimi wala sijapiga uturn yoyote ile.

Ni hawa nyumbu tu ndo wana vichwa vizito na kumbukumbu fupi sana.

Wanadhani kila mtu kalewa uvyama kama wao.
 
Pita magogoni uone mtu mwoga anavyoishi. Ulinzi na hofu kila mahali fence haitoshi pameongezwa mabati
 
Weka namba ya Simu
Lumumba wanatafuta wafagizi wa Ofisi
 
“ ..... hata waliosababisha mauwaji ya kimbari hata radio zilikuwapoo na hapa kwenye escrow hata maaskofu walichukua pesa wakarudisha , masheikh hawakuwepo “

HAPA ANAJARIBU KUTOA HINT ZA KUPINGANA NA WARAKA WA KANISA KATOLIKI ....
maaskofu wamemuunga mkono Sana toka issue ya kumnyamazisha Slaaa , kwenye uchaguzi na hata SERIKALI yake wameitetea Sana hadi juzi tu Christmas wakipoamua kumkosoa badala ya kuchukua approach ya kurekeleza ushauri au kwenda kuwasikiliza yeye anaenza kuwapiga vijembe ........
Maaskofu waliopewa pesa na Ruge ni wawili Nzigilwa na Kilaini @40 million na niseme tu maaskofu na watumishi wa Mungu kuna watu huwapa hadi zaidi ya hizo pesa nao huzitimia kwa ajili ya kanisa maana wanapotembelea kufanya injili kuna sehemu zina hali duni Sana husaidia au kuwaombea misaada
Kanisani kuna utaratibu wa Watawa kufanya declaration pale wanapopokea michango.. na kuna mashirika ya kitawa hasa yenye nadhiri ya ufukara na uchaji wa Mungu hata Mali wanazopewa binafsi ikiwemo akaunti ni Mali ya kanisa na Kwa kutambua Kuwa wana familia ikiwa wana Ndugu wenye matatizo kama ada au kujengea Wazazi kanisa husaidia ...

Sasa jiulize. ... maaskofu kama Niwemugizi , Ngalekumtwa na wengine ambao walipiga mawe kabla ya TEC kutoa tamko la Pamoja walipewa hiyo “ sadaka” kama kanisa linahongeka lisingemuunga yeye mkono , wangemuunga Lowassa mkono ambaye Pamoja na kuungwa mkono na matajiri wote nchi hii Mke wake ni mkatoliki safi na mmoja wa walei wazuri na mara nyingi tu huambatana na mumewe
Yote hayo kasahau anataka kuhusisha tamko la TEC na escrow

“ wanapoona tunanunua ndege mpya sita kwa pesa taslimu na kujenga reli kwa pesa yetu wanatuoneaa wivuu”

Anaamaanisha wazungu .... anatafuta huruma ya watu ambao hata ndege hawajui ni nini hiyo bombadiaaaa
Infact mashirika ya fedha na hata wauzaji wa ndege wanatuonea Huruma hakuna nchi au kampuni inayonunua ndege kwa pesa taslimu hao Emirates wanakopa kwa kwenda Mbele ... waone wivu kwa lipi
Hakuna nchi duniani inayojenga miradi ya kimkakati kwa pesa za kodii
Pesa za Kodi ni maalum kwa ajili ya matimizi ya kawaida ( current )na ya Maendeleo ya kijamiii (recurrent ) ie hospitali mpya , shule mpya etc
Miradi kama reli huwa inafanywa kwa kutumia long term and concession loans au PPP model ili maisha ya watu wa kawaida yasiathirike na utekelezaji wa miradi mikubwa
Na miradi mikubwa Huongeza mzunguko wa pesa Ndani kupitia ajira mpya na manunuzi na inapandisha makusanyo ya kodi ..... lakini ukitumia Kodi yako kutekeleza hii miradi unaparalyse uchumi na kushusha matumizi ya Kodi

Wanamuonea wivu hapo....

Tutaendelea kuchambua

Kitendo cha kumtukana mwananchi alitetaka kuonyesha bango kinaonyesha hizi psychiatric disorder is getting worse anapata woga pia hajui atakutana na nini na pengine yale mabango ambayo huwa anasema waachenii waje mbele someni moja moja na pigeni picha
NI USHAHIDI KUWA NI MABANGO AMBAYO YAMERATIBIWA

HIILI Tukio la Pili kuna wakati alimuamuru mwananchi Tabora akajifunikie Bango lake na mkewe huyu aliambiwa bango akamuonyeshe mkewe
“ pengine ni mtu asiyeheshimu kinamama , pia kama huwezi heshimu wake za watu hata mke wako hutamuheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…