Unywaji wa energy drinks

Tatizo ni pale watu wanapotumia kama ni substitute ya chakula au wanapotumia bila kuzingatia kiwango kinachoruhusiwa
 
Hebu toeni hiyo basi...maake naona ni kama nanyi mnalalama tu ,_eti watu hawana elimu.
 
Energy drink inamixiwa na konyagi hatari sana,only in Africa.

Nakunywa Redbull asubuhi kuondoa Hangover.
 
Ndugu, pure water ndiyo yakoje? Nisaidie nielewe pia mkubwa
 
wabongo huwa tunaendaga na kiki...
kinacho kiki sasa hivi ni hayo madude wacha watu wayanywe tu
 
Elimu ya nini mkuu...hebu fafanua hiyo energy ina madhara gani
Hata juu ya chupa wameandika, usinywe zaidi ya chupa moja kwa siku, vijana wanabugia hata tatu , usinywe wakati unaenda kulala, vijana wanabugia muda wote hata usiku, side effect iko kwenye mfumo wa moyo maana inasukuma zaidi dam kuliko kawaida
 
Hata juu ya chupa wameandika, usinywe zaidi ya chupa moja kwa siku, vijana wanabugia hata tatu , usinywe wakati unaenda kulala, vijana wanabugia muda wote hata usiku, side effect iko kwenye mfumo wa moyo maana inasukuma zaidi dam kuliko kawaida
Kuna dogo huko Nigeria aliwekewa pesa na kopo 8 za redbull akaambiwa amaliza mshiko ni wako.

Basi tamaa ya pesa ikichangiwa na sifa si ndiyo akanywa kwa pupa, alipomaliza chupa ya nane akaanguka hakuinuka tena.

Watu walipokuja kumuinua hali mbaya, wakaamua kumkimbiza hospitali napo hakufika. Akafia njiani
 
Source ya taarifa yako? Maana uandishi huu ni kama w kijiweni. Hauna source.

 
Nahisi ukinywa kwa malengo sio mbaya maana ni kweli ukinywa mwili unabadilika sana
Ukinywa uchovu na usingizi vyote vinaondoka kuna siku nilichoka sana na nilitakiwa ni drive na hakukuwa na muda wa kupumzika nikanywa moja aisee ilinisaidia sana
 
Binadamu ameumbiwa kiburi na majivuno . mfano sigara imewekwa na onyo kabisa bado mtu anavuta tena pakiti zaidi hata ya moja kwa siku. Ndo iwe energy drink.? Watu wanaona yale maelekezo ni ya wagonjwa,watoto na watu wanyonge wanyonge. Soo sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…