Unywaji wa energy drinks

Unywaji wa energy drinks

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,129
Reaction score
8,374
Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kunywa kwa wingi energy drinks wakitumia hvyo wakidhani huo mbadala wa chakula.

Sijajua if elimu ya kutosua inatolewa kwa nguvu kazi hii ya taifa mana ukitembelea vibanda vngi utakuta vijana wengi wamebeba mo. Energy.

Mamlaka zinazohusika tafadhalini sana.
 
Wana jina maarufu, wanaita "Booster".

Vinywaji hivi vinatembea sana. Na sidhani kama watumiaji wana uelewa sahihi juu ya matumizi ya vinywaji hivyo.

MO Energy inauzika sana kwa sababu ina ujazo Mkubwa kuliko Azam ijapokuwa bei ni moja.

Red Bull, Dragon na Kung Fu zenyewe bei ipo juu ila zinatembea.
 
kwani huna mdomo wa kuinywa au hauna vitendea kazi vya kwenye sita kwa sita
Mkuu nmeuliza kuhitaji kujua nlichosikiaga ili kufahamu kwa sababu lipo hapa jukwaani, Swala la kunywa hili lipo ndani ya sheria zangu kwamba huwa situmii kitu chochote zaida ya fresh juice na pure water pekee. Hizo taarabu zingine achia watu wa pwani, mbona hutendei vyema jina lako
 
Mkuu nmeuliza kuhitaji kujua nlichosikiaga ili kufahamu kwa sababu lipo hapa jukwaani, Swala la kunywa hili lipo ndani ya sheria zangu kwamba huwa situmii kitu chochote zaida ya fresh juice na pure water pekee. Hizo taarabu zingine achia watu wa pwani, mbona hutendei vyema jina lako
umenishangaza kuuliza kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wako nikaona nikujibu jinsi nilivyokujibu kwani nimeona kama huitendei haki id yako
 
Sijawahi kusikia side effects za hizi energy drinks ila kiukweli situmiagi kabisa na nahisi tu zitakuwa na madhara.

Ishu yoyote inayoboost utendaji kazi mwilini kwa haraka naiogopa.

Ni kama waliotumia protein shakes...at last wanasema inawaletea shida.
 
Halaf ieleweke wazi kuwa hakuna kinywaji amabacho sio sumu,kuanzia soda,juisi,maji pia n sumu,bia n sumu,konyagi n.k....only the dose can determine iwe sumu au iwe chakula......hata oxygen ikiwa nying n sumu na unakufa bcoz of oxygen toxicity.....mkiwa mnawaza madhara ya kila mnachoingiza tumboni walahi hamtakula chochote.....cha msng n kutumia right dose as indicated by producers
 
Back
Top Bottom