Deni la Milioni 109 na mtu amesoma Ualimu🙆🏽♀️🙆🏽♀️Watumiaji kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.
Kuweni "Wazarendo"
View attachment 1579626
DohWatumiaji kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.
Kuweni "Wazarendo"
View attachment 1579626
Thar z a bulshitDeni la Milioni 109 na mtu amesoma Ualimu🙆🏽♀️🙆🏽♀️
Gadeem wariii is ziiis?🙆🏽♀️
Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
Zariiiz buuuushit bro, yu no zis is mazafantaDeni la Milioni 109 na mtu amesoma Ualimu
Gadeem wariii is ziiis?
😂😂😂😂😂😂😂😂bodi ya mikopo hawataiona mbingu watabaki kuisoma kwenye bible tuuZariiiz buuuushit bro, yu no zis is mazafanta
Msimchague Magufuli..Inasikitisha sana bodi iliyopewa dhamana kuwezesha kupata elimu inavyobadilika na kuwa sehemu ya kuwanyonya watoto wa msikini.
Ukiangalia statement ya marejesho unatakiwa kulipa administration fee, penalty na value retention fee.
Inashangaza sana hayo makato ukifikiria mtu kamaliza chuo hajapata kazi miaka 3 hadi 4 lakini mkopo unaendelea kuliongezeka kila kukicha.
Leo nitazungumzia kimojawapo. Ukiangalia hiyo wanaita: Value Rention Fee (VRF) is a statutory charge to maintain the value of money throughout your repayment period. It is charged at 6% of the outstanding balance per annum. However it accrue daily at the rate of 0.0001643836 (that is 6% divided by 365) of the outstanding principal loan balance per day. SO it continues to accrues until you finish paying the outstanding principal loan.
Kwa hali hii mkopo huu hautalipwa na watu wengi watafanya juu na chini kukwepa kutolipa.
Ni aibu mkopo wa serikali unageuka kuwa chombo kumaliza na kukandamiza watoto wa maskini, sasa haina tofauti na mikopo ya biashara, wizi mtupu
Hakuna mtu asiyependa kulipa kama unadaiwa lakini mnapoweka mashari na vigezo ambayo haikuwepo wakati wa kuchukua mkopo inakuwa hatari sana. Serikali iache kutumia mabavu
Hawana ujanja huo ni wajinga sanaMsimchague Magufuli..
ChondeChonde...
Pigeni chini Magufuli.
Mkaruka hyo slip imeniumiza roho yangu...yaani deni limefika 109m. ALIETUNGA SHERIA HYO NI MTU KATILI HAIJAPATA TOKEA!!Watumishi kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.
Kuweni "Wazarendo"
View attachment 1579626
MagufuliMkaruka hyo slip imeniumiza roho yangu...yaani deni limefika 109m. ALIETUNGA SHERIA HYO NI MTU KATILI HAIJAPATA TOKEA!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mmmhhhh!!Watumishi kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.
Kuweni "Wazarendo"
View attachment 1579626
Hebu angalia makato yote hayoWatumishi kasimamieni uchaguzi, nafasi zimetoka CCM inawapenda saaana.
Kuweni "Wazarendo"
View attachment 1579626
Hivi sweetheart, unaifahamu serikali ya zama hizi? Waziri anategeneza ka sheria uchwara wanapitisha na maamluki wake, kwisha kazi hata haiendi bungeni. Ukilalamika kusema hatukuwa na makubaliano hayo wanakuambia ilishatungiwa sheria mwaka XXXX.Sifahamu sana kuhusu HESLB lakini kwa hali ya kawaida kama mkataba(makubaliano) yalionesha mengine na badae yakaja kubadilika si huwa kuna haki ya kukataa kulipa?
Ikitokea deni halijalipwa kabisa ni hatua gani inafanyika kwa aliyekataa kulipa?
Watumishi wengi ni wezi na ukiona sio mwizi basi ujue hajapata tu nafasi ya kuibaHebu angalia makato yote hayo
Imagine ungekuwa na kamkopo hapo haki ingekuwaje?
Kwa hali hiyo utaacha kuiba na una familia ya wtu sita?