Unyanyasaji wa waalimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyanyasaji wa waalimu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by minjingu, Apr 24, 2012.

 1. m

  minjingu Member

  #1
  Apr 24, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia [FONT=&quot]St. MatthewÂ’s secondary school (mkuranga-coastal region)[/FONT] kongowe mkuranga. Yaani nilielezewa ikaniuma sana. Shule hii imeajiri degree levels wengi sana lakini haifuati sheria za uajiri. watu wanafanya kazi miaka kadhaa kwa mikataba ya penceli. Hivi juzi kuna dada mmoja alikuwa mjamzito tangia mwezi wa tano wakaanza kumsumanga, oo wewe ni mjamzito na hujaolewa kwa hiyo umejifukuzisha kazi mwenyewe. mwingine amejifungua akiwa maternity leave akakutana na phone call ya redundance. hamna cha kukatwa kodi, hamna kujiunga na mifuko ya hifadhi. mishahara yenyewe wanapewa mkononi ili kukwepa kodi. kama kuna mwandishi yeyote wa habari, mwanasheria au kiongozi wa serikali mkereketwa naomba afuatilie hii sule.
   
Loading...