doctor mwanafunzi
Member
- Jun 16, 2024
- 51
- 63
serikali ingeweka mikakati ya kuzifuatilia taasisi binafsi hasa za afya ambazo zinafanya unyanyasaji kwa kutokuwalipa wafanyakazi mishahara yao kwa wakati, kuwalipa nusu nusu na wakati mwingine kutokulipwa kabisa. Nawakati mwingine ukifuatilia sana haki yako unaweza kutishiwa kufukuzwa kazi.....kuwe na utaratibu wa hizi taasisi kukaguliwa mara kwa mara kama wanafanya malipo kwa wafanyakazi wao maana hii sasa imekuwa ni tabia na tunaelewa kabisa ni kinyume na sheria kumfanyisha mtu kazi pasipo kumlipa.......picha hiyo hapo inaonyesha maongezi kati yangu na rafiki yangu ambaye yeye pia ni muhanga...nakama wanashindwa kulipa wafanyakazi basi wazifunge taasisi zao