Unyama unyamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unyama unyamani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Deo bony, Sep 17, 2012.

 1. D

  Deo bony Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Madenge alikuwa kwenye basi lenye abiria wengi. majambaz wakawavamia na kuwapora simu na usipotoa "una chomwa sindano ya damu ya ukimwi" watu waka toa lakin madenge hakutoa akachomwa ile sindano watu waka muuliza mbona umekubali? akajibu" "WALIKUWA HAWAJUI KAMA NIMEVAA KONDOM.! ! ! ! !
   
 2. Ngangasyonga

  Ngangasyonga JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Noooo!! inakataaa!!
   
 3. mkudeson

  mkudeson Senior Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hiyo ni mojawapo ya hasara za kukariri!
   
 4. p

  pretty n JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kawaida
   
Loading...