Kuna wapumbavu wengine waliomuamini Babu Kiama wakaenda kukwangua kwenye bank accounts zao na kumkabidhi yule babu mapesa chungu nzima sasa wanalia maana akiba zao ndio zimeenda na maji na wengine wanafikiria kumfungulia mashtaka....labka anaona kiama chake yeye anadhani ni kiama cha dunia nzima.
afu nahisi umechoka kama vp malizia usingizi, acha ku google picha, unatudanganya badala kuleta maskills ya ukweli
haya ngoja nitulie, nione hayo maujanja yako ya kugoogle picha
si mbaya faraja huwa inaondoa stress.acheni kuleta gundu hamna cha kiama hapa,mnaanza kupredict matatizo.
MkuuLabda ni hii global warming ..Sehemu nyingine unapata Four seasons kwa siku moja...HALI ISIYO YA KAWAIDA: Manyunyu ya mvua yaliyoanza jana jioni hadi kufikia leo ahsubui jijini DSM ni kiashiria cha mabadiliko ya mfumo wa hali ya hewa....
Nilivyoziona hizo picha nikakumbuka hii picha nilipiga May 2010...mawing yalikuwa na shape ya ajabu ajabu lakini sio kama hiyo picha ya AD.[/QUhOTE]Inaoneka ni low level clouds ..Nadhani itakuwa stratocumulus.. Hiyo ya kwangu nimekosa jina dahhhhNadhani ntaiita tu Stratus ....