Unusual cloud formation

AD si unamkumbuka yule Babu mtabiri wa Kiama? Alisema Kiama kitaanzia huko kwenu :) ndio maana unaona hiyo unusual formation of clouds na kiama kitakapokuwa kinakaribia (October 21st, 2011) mawingu yatabadilika rangi na kuwa meusiiiiiii na jua litapotea kabisa hivyo mchana hautakuwa na tofauti na usiku hahahahahaha lol!
 
hahahahahahah lohhh
Jamni naona we na SHERRIF ARPAIO
mnafanya kazi nzuri sana ya kunitisha yaani we
hata na terehe umenipa hahahah lol...
naisondoki tutabanana hapa hapa hahahahah lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK

We banana hapo hapo lakini magharika ya kiama yakianza kufanya mavitus yake :) utayakumbuka maneno ya BaK :)
 
hahahahahah lolhhh
haina neno tunapokea viama vya aina yote..
so far bado tunahema..... hahahahah lol
ngoja tukisubiri hicho cha mawingu...
hawa ni walinzi wetu eti hivi bado hujajua??
humpback whale :)
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahah lolhhh
haina neno tunapokea viama vya aina yote..
so far bado tunahema..... hahahahah lol
ngoja tukisubiri hicho cha mawingu...
hawa ni walinzi wetu eti hivi bado hujajua??
humpback whale :)

Hilo muhimu sana AD, tuombe Mungu labda yule Babu mpenda kiama anaweza kuwa amekosea tena kama alivyokosea May 21st, 2011
 
Kabisa dear ..
labda hajakosea ..
labda katabiri kihama chake mwenyewe
who knows...... kwa raha zake kwa kweli..
Binafsi namcheka kutu .......... siku yangu naamini kabisa siijui..
na yeye hata kaa aijue no matter what... lolz
 
Kuna wapumbavu wengine waliomuamini Babu Kiama wakaenda kukwangua kwenye bank accounts zao na kumkabidhi yule babu mapesa chungu nzima sasa wanalia maana akiba zao ndio zimeenda na maji na wengine wanafikiria kumfungulia mashtaka....labda anaona kiama chake yeye anadhani ni kiama cha dunia nzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom