Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
Unataka serkali ikufanyie nini
Marekani waje kununua mkoa wa KIGOMA naona serikali imeutelekeza..
Marekani waje kununua mkoa wa KIGOMA naona serikali imeutelekeza..
Wapi ulikoona wamepokea kwa furaha.
Mkuu ulishafika KG? Hakuna barabara ya maana ,huduma za afya ct scan ya karibu ipo bugando ,shule ni majanga n.k .nkUnataka serkali ikufanyie nini
Denmark sio nchi maskin, wananchi wa Denmark wana maisha mazuri zaid ya wamarekaniHao viongozi wa Greenland wajukuu zao watakuja kuwashangaa sana.
Hiyo ni opportunity sio Threat au weakness. Ni kuhama kutoka katika mikono maskini ya Denmark kwenda Super power ya US
Wangesikia hiki kilio ingekuwa neema kubwa sana,maana bendera ya eagle ingepepea ikinusa nusa madini ya ZAIRE.Marekani waje kununua mkoa wa KIGOMA naona serikali imeutelekeza..
Mayote wao walishapiga kura kitambo ya kujitoa Africa na kujiunga na Ufaransa
Hao Cape Verde ni kama vile wapo ulaya. Mahusianao na Afrika ni pale tunapowaona kwenye mashindano ya CUF, lakini mambo mengine wanapotezea kama sio waafrikaHivi Mauritius na Reunion bado ziko Afrika?
Cape Verde muda si mrefu watajiunga ureno au Spain
... naona kura ya maoni ikiwa njiani wananchi waamue kujitenga na Denmark ili kujiunga na Marekani; naona watakaokubali kwenda US wakishinda kwa kishindo. Denmark is too small to own massive land like Greenland!
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..Denmark sio maskini mkuu. Na usuperpower wa U.S haotawsaidia chochote hao wananchi wa Greenland.
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..
You see, I thought I was discussing something with someone.Unataka nikutumie picha wakicheka?
USA pia unamiliki visiwa vya...Hilo ndio lengo la U.S, Lakini kwa upande wa Greenland sio kama watapata maisha bora kwa kua wapo chini ya U.S kama baadhi ya wadau humu wanavyohisi.