Ununuzi wa Greenland: Trump avunja safari ya kuelekea Denmark

carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2017
Messages
4,069
Points
2,000
carcinoma

carcinoma

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2017
4,069 2,000
Unataka serkali ikufanyie nini
Mkuu ulishafika KG? Hakuna barabara ya maana ,huduma za afya ct scan ya karibu ipo bugando ,shule ni majanga n.k .nk

Au ulitaka wananchi tupambane tujenge lami wenyewe??
 
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Messages
399
Points
500
dennis_robert

dennis_robert

JF-Expert Member
Joined Mar 7, 2019
399 500
Hao viongozi wa Greenland wajukuu zao watakuja kuwashangaa sana.

Hiyo ni opportunity sio Threat au weakness. Ni kuhama kutoka katika mikono maskini ya Denmark kwenda Super power ya US
Denmark sio nchi maskin, wananchi wa Denmark wana maisha mazuri zaid ya wamarekani
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
18,014
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
18,014 2,000
Kumbe Haya Mambo Yanaendelea
Kuna Member Mmoja Mwezi Huu Alianzisha Thread Yake Nzuri Akitaka Tanzania Ivinunue Visiwa Vya Comoro Nadhani Na Madagascar Viwe Sehemu Ya Tanzania
 
kalidegree

kalidegree

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Messages
562
Points
500
kalidegree

kalidegree

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2016
562 500
Marekani waje kununua mkoa wa KIGOMA naona serikali imeutelekeza..
Wangesikia hiki kilio ingekuwa neema kubwa sana,maana bendera ya eagle ingepepea ikinusa nusa madini ya ZAIRE.
 
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2019
Messages
1,310
Points
2,000
Statesmann

Statesmann

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2019
1,310 2,000
Hivi Mauritius na Reunion bado ziko Afrika?

Cape Verde muda si mrefu watajiunga ureno au Spain
Mayote wao walishapiga kura kitambo ya kujitoa Africa na kujiunga na Ufaransa
 
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Messages
7,440
Points
2,000
KWEZISHO

KWEZISHO

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2016
7,440 2,000
Hivi Mauritius na Reunion bado ziko Afrika?

Cape Verde muda si mrefu watajiunga ureno au Spain
Hao Cape Verde ni kama vile wapo ulaya. Mahusianao na Afrika ni pale tunapowaona kwenye mashindano ya CUF, lakini mambo mengine wanapotezea kama sio waafrika
 
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Messages
17,072
Points
2,000
FRANCIS DA DON

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2013
17,072 2,000
Wakichukue tu hicho kisiwa, nani wa kumzuia?
 
profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
373
Points
1,000
profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2015
373 1,000
mawazo yako ya ajabu sana,mbona congo drc wanamiliki eneo kubwa sana,sembuse denmark ndo washindwe..
... naona kura ya maoni ikiwa njiani wananchi waamue kujitenga na Denmark ili kujiunga na Marekani; naona watakaokubali kwenda US wakishinda kwa kishindo. Denmark is too small to own massive land like Greenland!
 
profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Messages
373
Points
1,000
profesawaaganojipya

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2015
373 1,000
Denmark sio maskini mkuu. Na usuperpower wa U.S haotawsaidia chochote hao wananchi wa Greenland.
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..
 
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2009
Messages
2,573
Points
2,000
D

dos.2020

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2009
2,573 2,000
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..
Hilo ndio lengo la U.S, Lakini kwa upande wa Greenland sio kama watapata maisha bora kwa kua wapo chini ya U.S kama baadhi ya wadau humu wanavyohisi.
 

Forum statistics

Threads 1,343,130
Members 514,953
Posts 32,774,674
Top