Ununuzi wa Greenland: Trump avunja safari ya kuelekea Denmark

Hao viongozi wa Greenland wajukuu zao watakuja kuwashangaa sana.

Hiyo ni opportunity sio Threat au weakness. Ni kuhama kutoka katika mikono maskini ya Denmark kwenda Super power ya US
Denmark sio nchi maskin, wananchi wa Denmark wana maisha mazuri zaid ya wamarekani
 
Kumbe Haya Mambo Yanaendelea
Kuna Member Mmoja Mwezi Huu Alianzisha Thread Yake Nzuri Akitaka Tanzania Ivinunue Visiwa Vya Comoro Nadhani Na Madagascar Viwe Sehemu Ya Tanzania
 
mawazo yako ya ajabu sana,mbona congo drc wanamiliki eneo kubwa sana,sembuse denmark ndo washindwe..
... naona kura ya maoni ikiwa njiani wananchi waamue kujitenga na Denmark ili kujiunga na Marekani; naona watakaokubali kwenda US wakishinda kwa kishindo. Denmark is too small to own massive land like Greenland!
 
Denmark sio maskini mkuu. Na usuperpower wa U.S haotawsaidia chochote hao wananchi wa Greenland.
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..
 
lengo la USA sio kusaidia hao watu,bali aweke mitambo na silaha zake ili kuichunguza Russia,kuna silaha zake na mahandaki mengi aliweka,wakati wa vita baridi..

Hilo ndio lengo la U.S, Lakini kwa upande wa Greenland sio kama watapata maisha bora kwa kua wapo chini ya U.S kama baadhi ya wadau humu wanavyohisi.
 
Hilo ndio lengo la U.S, Lakini kwa upande wa Greenland sio kama watapata maisha bora kwa kua wapo chini ya U.S kama baadhi ya wadau humu wanavyohisi.
USA pia unamiliki visiwa vya...
1.American Samoa katika bahari ya Pacific
2.Puerto Rico(ipo jaribu na USA)
3.Marshall islands
Lakini hadi leo maisha ya wananchi katika maeneo hayo yapo vilevile hakuna kilichobadilika
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom