kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,226
- 9,489
Utapata vidonda vya tumbo mkuu ondoa chuki uponeUNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
Sasa hapo kosa ni la msanii au producer?
Hivi kwa dunia ya sasa iliyotawaliwa na hatimiliki unaweza kucopy wimbo wa mtu pasi na kukubaliana na mwenye wimbo?..aliyekwambia diamond haogopi faini ni nani? Mond anajua kabisa faini ya kuiba hatimiliki ya mtu haipungui dola millioni moja(zaidi ya billioni 2)..hivyo sidhani kama anaweza kufanya hicho kitu bila ya makubaliano na mwenye wimbo..kuna kipindi watu walikuwa wanapiga makelele hivihivi oh! Wimbo wa the one kamuibia mnamibia haya kiko wapi mbona Mnamibia hadi leo yupo kimya hajafungua mashtaka yoyote yale kwani yeye hapendi kulipwa faini?
Ila S2kizz amesema ile biti aliporuhusiwa akuchelewa akampigia diamond ndo fasta akarekodi bila kuchelewa.
Rudia tena kusoma comment yako..wewe umemsuspect moja kwa moja mkuu umesema kacopy wimbo wa jamaa bila ruhusa..Rudia kusoma comment yako uliyoiandika halafu utaona uliposema hivyoSidhani kama umeelewa point yangu mkuu.. nimesema anapaswa pia atoe maelezo imekuaje, hata nyimbo ya the one alitoa maelezo mpaka makubaliano Yao yalivokua maybe tu hukusikia / hukufatilia. Kama wamekubaliana basi sawa, ila kibaya ktk beat inaanza na song tag ya S2kizzy then kuna Laizer ilihali mdundo ni ule ule so maybe aseme wamefanya sampling au wako authorised kufanya hvo, tusubiri
Kwa hiyo Mond siku hiz haandiki tena nyimbo atakua anatafuta wimbo wa msanii huko Nigeria wanaongea anaubadilisha kwa kiswahili anautoa
Rudia tena kusoma comment yako..wewe umemsuspect moja kwa moja mkuu umesema kacopy wimbo wa jamaa bila ruhusa..Rudia kusoma comment yako uliyoiandika halafu utaona uliposema hivyo
Yeye akidisiwa hamna nouma si ndiotukitoa ushabiki diamond amn alicho imba.. washa jijua ni super star bs kila watakacho jiskia kuimba kitapendwaa kwa diamond kaimba kama kuwa diss watu bdo ana uswahili uswahil yeye na makondaa wakee..
Mondi ndo anaelekea mwishoni ...Hana jipya tena ...now tuko na konde boy...
UNO ndiyo habari ya Mujini na Vijinini!!!! Mimi siyo Shabiki wa mambo ya Muziki lakini kwa dharau la huyu Diamond na kukosa heshima kijamii kila siku kupanda wanawake na kuwatelekeza basi Konde Boy ndiye mwenye sifa zote kwa nidhamu na kazi nzuri, Na nina Imani kubwa sana kuwa Konde Boy atafika mbali mno kimziki na kimaisha na kwa mfano mwema katika jamii. Keep it up Konde Boy, the Harmonize
mkuu usipanic watu wanatakiwa wapige pesa ndiyo ila wewe usichukie kwa watu kusema ukweli.Unaona hao wapuuzi walio komenti?
Keep streaming hizo videos zote watu waendelee kupiga hela mbaki na majungu yenu.
Binafsi hazifanani na hakuna wakunilazimisha niamini zinafanana melody
10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3B11 ni kama dola millioni 5 tu..ambazo kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali ndio net worth ya diamond hiyo...wasanii waliokuwepo kwenye top ten ua wasanii matajiri Africa wengi wameanzia dola millioni 10 na kuendelea mpaka kwa Akon ambaye ana Net worth ya 30 million dollar
Hii listi umeipata wapi jombaa mpaka watu wa billioni 2 unawaingiza..haya tuendelee Mwana FA,na Ay mwaka jana walilipwa Billioni 2 cash wakagawana moja moja na ukijumlisha assets walizokuwa nazo mwanzo tunaweza kusema kila mmoja anaweza kuwa na Billioni 1.5 kwa kukadiria..kwahyo tukiendelea na list tunakuja kuwakuta kwenye 20 bora ya wenye pesa Africa ikiwa mtu mwenye 2billioni kaingia kwenye top ten?..chukua data kutoka sites zinazoeleweka achana na blog uchwara hizo maana kwenye list yako siwaoni p square kwahyo unataka kutuambia hawapo top ten?..yuko wapi lira msanii wa kike tajiri kuliko wote Africa mwenyw Net worth ya Dolla Million 35? simuoni pia yule msanii wa Senegal Youssou N Dour aliyegombea uraisi..ukiachana na Akon yule ndiye msanii tajiri zaidi Africa anayefanya kazi zake ndani ya bara hili10: Oliver Mtukudzi (R.I.P) Zimbabwe,Billion 2.3
9: Jidenna,Nigeria billion 2.3
8: Hugh Masekela,South Africa billion 3.4(huyu haimbi,bali ni mpuliza tarumbeta tu)
7: Thashenow,Zimbabwe Billion13.9
6: Sarkodie,Ghana Billion 16.2
5: Davido,Nigeria Billion 37
4: Wizkid Ayo,Nigeria Billiom 46.2
3: Don Jazzy,Nigeria Billion 69.5
2: Black Coffee,South Africa Billion 139
1: Akon Billion 185.3,
Sasa hapa mwenye b11 kwa nn asiwepo