UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

Kama ishu ni hiyo,tuvunje tena jumuiya ya africa mashariki kama tunaona tunaonewa kwa ubwege wetu!
 
tatizo ni kwamba watu hawajui intellectual law ya hapa tz, ndio maana unalinganisha mitaa na mlima kilimanjaro. kuna vitu fulani katika kila nchi ni urithi wa taifa na vinaitambulisha nchi hutakiwi kuvigusa, labda kwa ruhusa ya wenye nchi. kitu kama mlima kilimanjaro ambao hapa tz unatutambulisha, serengeti etc ni urithi wa taifa....huwezi kuvitumia katika mazingira ambayo yanaweza ku prejudice interest za nchi....mfano, leo hii watu wanaweza kuamini kuwa mlima kilimanjaro upo kenya na wakaenda kenya kutalii badala ya tz, au kenya wanaweza tumia jina hilo vibaya likachafua mlima wetu nasi tukapata hasara, hivyo ni sisi tunatakiwa kulinda vitu hivi ambavyo ni urithi pekee wa taifa letu. achilia hiyo mitaa etc....mlima kilimanjaro is beyond that...jaribu leo hii kujenga hotel halafu taja jina "israel hotel", au Jerusalem hotel, hapa dsm uone kitakachotokea....ukishindwa kuelewa hapa lete hela ya tuition nikufundishe kwa darasa kabisa...
angalia usije ukawa unaendeleza ubishi huo huo bila kujua.
Hivi ni lini Watanzania walikaa kikao kama taifa na kupitisha jina la mlima uitwe Kilimanjaro!?
Hivi unadhani Kilimanjaro ni 'urithi' wa dunia au urithi wa watanzania?
Haya basi hapo katika red, tueleze ni jinsi gani haya majina yalibatizwa hizi hotel: Durban Hotels (Kariakoo/Uhuru), Harare Inn (Kariakoo), Johannesburg Hotel (Sinza). Na ni hatua zipi walichukua Waiingereza kwetu kuliita ziwa letu jina la Malkia wao Victoria!
Tusipoangalia Watanzania na kufikiri kwa kina, uenda siku si nyingi wageni (hasa hao Wakenya) ndio watakuwa wanatutengenezea vyakula na wanaamua ni ingredients gani waweke ili tukue haraka, tusinenepe nk

 
Sie tumelala ubaya uko wapi!Kwani ile mitaa ya nyerere kwao mbona hatulalamiki,vipi kuhusu kenyata roads kwetu!Ahh acha watangaze tu kwani tukitangaza sie tutapata nini?Nchi ya 7 duniani kwa kuwa na Uranium (Pengine ya kwanza kwa ni hii haihusishi ya Bahi,Mbalizi na makete) bado ni maskini na tuko gizani!Bora EA federation ianze fasta watusaidie!
 
Malaysia wana tangazo lao la utalii kwenye bbc na cnn. Kina slogan inasema'Malaysia truly Asia. Sijapata kuona tangazo la Tanzania kwenye vyombo hivi vikuu duniani kuutangaza Kilimanjaro. Kwenye kujitangaza ki utalii na kwenye maketing untelligence wizara yetu ya utalii ipo nyuma sana

Ni vilaza ndio, lakini kama huna ushahidi usikurupuke kuwatuhumu.
Msimu uliopita wa ligi kuu Uingereza kulikuwa na matangazo kwenye Uwanja wa Brittania wa Stoke City huko Stafordshire, kwa mechi zote 19 zilizochezwa uwanjani hapo, na hapa sijajumlisha game za Kombe la Malkia na Carling Cup.
Bhalijitahidi kwa kweli...
 
Kwani shida iko wapi? By the way, hilo ni jina tu limetumiwa na smart Kenyan Entrepreneurs to make money!
 
kuna Kilimanjaro Avenue Nairobi :becky:, in short huwezi ukazuia kutumia jina la Kilimanjaro kwa hayo unayosema kwa vile common names have no hati miliki!
so kilimanjaro is a common name, how many kilimanjaros do we have in the world? get back to school!
 
so kilimanjaro is a common name, how many kilimanjaros do we have in the world? get back to school!
u have to differentiate between "Mt Kilimanjaro" and "Kilimanjaro" to know what i mean i know ur arguments r based on the Kenya's efforts to exploit on Mt Kilimanjaro economic opportunities but u have to understand they have been using Kilimanjaro as a name and not the mountain just like we have Nairobi street in Dar! so we have to contain our emotions on that n legal proceedings can only be considered if they use the title Mt Kilimanjaro!
 
hakuna shida mbona kuna university of nelson mandela hapa na sii wa kwetu huyoo...hakuna monopoly kwenye majina.....
 
Sekoutoure hospital ya Mwanza - nani anawalipa wanafamilia ya Sekoutoure
 
u have to differentiate between "Mt Kilimanjaro" and "Kilimanjaro" to know what i mean i know ur arguments r based on the Kenya's efforts to exploit on Mt Kilimanjaro economic opportunities but u have to understand they have been using Kilimanjaro as a name and not the mountain just like we have Nairobi street in Dar! so we have to contain our emotions on that n legal proceedings can only be considered if they use the title Mt Kilimanjaro!
so what sort of kilimanjaro do kenyans have, a mountain, region, district even a village? what things gives kenyans to use the word kilimanjaro? so you think you understand the meaning of common names? your arguments seems like you are a very beautiful girl..well keep on vomiting vapour madam!
 
si hilo tu pia nchini kenya kuna. hospitali kuu ya kilimanjaro kuna pia kilimanjaro conference centre. shule ya upili ya kilimanjaro na kitengo katika GSU kinachoitwa kilimanjaro na kadhalika. pia shuleni katika somo la geographia kilimanjaro imeonyeshwa kuwa kenya

Hayo yote ni mema, wanatupenda na wanatutangazia jina la Mlima wetu bila malipo, kwani hata watalii wakienda Kenya kwa nia ya kuuona mlima Kilimanjaro watajikuta wako Tanzania. Hivyo hiyo isiwahangaishe Watanzania wenzangu, ni faida tu.

Mnajua gharama ya matangazo CNN, BBC au katika gazeti lolote la kimataifa? Mngejua gharama zake mngekaa kimya na kuwaomba waendelee.

Hata hivyo tuna Kenyata road kwa upande wangu ni poa tu.
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
Thick - uvivu wa kufikiri, hapa maliasili wanaingiaje, tatizo la wengine wabongo wanachukulia Kenya kama ndio standard measure ya maendeleo na kuishia kuwa na chuki zisizokuwa na maana yeyote. Kinachotakiwa ubunifu na kukomalia kitu chako kiuzike na sio kufikiri washindani wako waondoke kwenye production ili kuuza
 

Kwanini USINGE JARIBU KU-GOOGLE HIYO UNIVERSITY kama kweli IPO ? KULIKO KUWEKA HABARI POTOFU?
F.Y.I HAKUNA KITU KAMA HICHO KENYA!!!

Asante Mkuu. Uzi huu una lengo la kutufitinisha na ndugu zetu wa Kenya. Huu siyo muda wa kujivunia maliasili, tupige hatua katika sayansi na teknolojia tuimarishe uchumi wetu kama Japan ndipo tujisifu kwa kutumia bongo zetu siyo mlima.
 
Nelson Mandela University ipo Arusha, hilo nalo kosa? Au kosa kwa maliasili tu?
 
Mbona sisi tuna Kampala University, MOI, Nelson mandela University hivi tunalipia?

MOI pale Muhimbili haina uhusiano na Mtukufu Rais Daniel Arap Moi wa Kenya. MOI ni ufupisho wa Muhimbili Orthopaedic Institute, tafadhali zingatia.
 
Thick - uvivu wa kufikiri, hapa maliasili wanaingiaje, tatizo la wengine wabongo wanachukulia Kenya kama ndio standard measure ya maendeleo na kuishia kuwa na chuki zisizokuwa na maana yeyote. Kinachotakiwa ubunifu na kukomalia kitu chako kiuzike na sio kufikiri washindani wako waondoke kwenye production ili kuuza
ubongo wako hauwezikujua kama maliasili na utalii are part and parcel ya mlima kilimanjaro kwasababu ya utalii. na kuna mbuga pale kilimanjari au sijui niseme game reserve....hawa ndio wanaotakiwa kuulinda mlima huu usichomwe moto na wachagga, usichafuliwe etc na wanapokea mapato ukitaka kupanda ule mlima. akili yako ni ndogo kama ukucha ndio maana huwezi kufikiri zaidi ya hapo ulipofikiri.

kuna kitu kinaitwa folklore rights ya vitu vya urithi wa nchi, ambavyo haiwezekani kutumia jina bila ridhaa ya nchi husika. watu wanaringanisha kutaja mitaa ya mji etc kama mtaa wa congo, mtaa wa mandela etc, wanalinganisha na mlima kilimanjaro....hata hawaoni kama uzito unatofautiana...kimoja ni urithi unaotambulika kidunia kuwa ni wa tz na vingine ni majina tu ya kawaida. kama hujaelewa hadi hapa nambie nikulipie ada ya shule ukaanze chekechea hata leo upate ufahamu. Elimu ni muhimu....
 
you don't need to register something so tangible like this. halafu, watu watofautishe mlima na mitaa. mlima ni kitu tangible sana sana. hizo ni haki za folklore ambazo ni naturally given. no need to have it registered.

You have not yet proved the existence of this university in Kenya, kindly prove the same otherwise the moderator of this forum is humbly requested to suspend your membership so that you can no longer deceive and corrupt our innocent minds.
 
Back
Top Bottom