UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

so what sort of kilimanjaro do kenyans have, a mountain, region, district even a village? what things gives kenyans to use the word kilimanjaro? so you think you understand the meaning of common names? your arguments seems like you are a very beautiful girl..well keep on vomiting vapour madam!
they have a university called Kilimanjaro, an avenue also but they don't have a Mt by that name since legal that is breaking international law to call any Mt that name and since Mt Kilimanjaro is legal protected and whoever use that name has to pay royalty to Tanzania!
 
You have not yet proved the existence of this university in Kenya, kindly prove the same otherwise the moderator of this forum is humbly requested to suspend your membership so that you can no longer deceive and corrupt our innocent minds.
go tell your moderator to do it. who cares. if you don't believe it, try to watch star tv this evening or during night, you will hear the advertisement. if you are outside the country try to ask those who are in tz, they will prove it to you. who do you think you are scaring? young girl!
 
they have a university called Kilimanjaro, an avenue also but they don't have a Mt by that name since legal that is breaking international law to call any Mt that name and since Mt Kilimanjaro is legal protected and whoever use that name has to pay royalty to Tanzania!
which international law if you really understand what you are writing? look at yourself!
 
Mimi nitafungua pia shule nitaiita Mount Kenya High School. Vilevile kijiuwanja changa cha kuwindia wanyama mwitu nitakiita Jomo Kenyatta International AirPort. Pia mbuga ya Mikumi hebu tuiite Maasai Mara.. Vilevile tutangaze kuwa Mlima Kenya upo kwetu.t
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
 
Hiyo haki miliki huenda walishalipia! Viongozi wetu wakala. The problem is that, smart people are not in the relevant offices, kuna vilaza wasiokuwa wabunifu. Hatujajua namna ya kutumia human resource tuliyonayo. Kuna watu ambao ni very creative lakini serikali yetu haiwezi kuwatumia achilia mbali kuona tu wapi pa kuwatumia.

Tukopamoja sana, umerenga sana
 
Ukweli mlima kilimanjaro uko kenye ila katika kuchora tanzania tulichora mapema tukauhamishia tanzania hebu chora vizuri uone kama sio kweli nyoooooooooooooosha!!!!!!!!!!!
 
Solution ni kufungua chuo pale Moshi na kukiita "University of Kilimanjaro" Kisha tusikilizie.:smiling:
 
wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa university of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? Wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

Vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? Ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? Hapa pamekaaje jamani?

na hii jumuiya ya afrika mashariki ilivopamba moto sijui ndio mwsho wa nchi yangu hiii??
Dah tanzania tanzania,nani kakuroga??
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?
Research yangu kwenye source zote credible imerudisha majibu kwamba nothing like Kilimanjaro University exists anywhere... this proves just another funny character - wale wale wa kusikia mtu flani kasema - is in JF - labda nikushauri unapokuwa vijiweni ukisikia kwanza chuja kabla kukimbia na kila kitu kama facts...vya kahawa malizieni tu huko
 
poorest research of the century. Hicho chuo kipo
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

OP (mleta hoja) amesema kuwa "kuna jamaa yake aliyemuambia kuwa amesikia....":becky::becky:

Hivi hii page yangapi sasa yaani hakuna hata mmoja wetu aliyepata walau ka-link ka hiyo uni ya kusadikika...😕
 
ni jambo ambalo linakatazwa katika sheria za hakimiliki, naomba viongozi watoe majibu haraka hapa kwasababu tz ikionewa na kenya huwa naumia sana. yaani huw aniko tayari hata kurusha ngumi.

Huu nao ni upepo utapita hahaha!!!!! kal;ieni vimbiu uswahili
 
Research yangu kwenye source zote credible imerudisha majibu kwamba nothing like Kilimanjaro University exists anywhere... this proves just another funny character - wale wale wa kusikia mtu flani kasema - is in JF - labda nikushauri unapokuwa vijiweni ukisikia kwanza chuja kabla kukimbia na kila kitu kama facts...vya kahawa malizieni tu huko

Mleta mada hafanyi uchunguzi wa kina
 
Kutumia Kilimanjaro kwenye mambo yao sioni kama ni issue. Kwanza wanatusaidia kuutangaza. Kama kweli Tanzania tuko serious tupeleke matangazo yetu ya utalii CNN, BBC, Supersport n.k tukiuambia ulimwengu kuhusu mlima wetu kilimanjaro.

Kwa mlima mrefu kama kilimanjaro uwezi kuzuia hisia za watu katika kuutumia katika mambo yao. Lakini tunayo nafasi ya kuujulisha ulimwengu mahala mlima ulipo
 
Hili swala halijakaa vizuri, wa Kenya wanaitafuna Tanzania kimyakimya na mbaya zaidi viongozi wetu nao hawa fikra Pevu
 
Wadau, kuna jamaa alinambia kuwa amesikia kuna chuo kikuu huko kenya kinaitwa University of kilimanjaro, hivi mambo ya folklore hapa vipi? wadau wa utalii na maliasili wa tz wanafanya nini kama ni kweli?

vilevile, jana wakati naangalia star tv, nikaona wanatangaza mchezo mmoja hivi wa kikenya, wame act wakijumuish akuwa wao ni wanafunzi wa chuo kikuu cha kilimanjaro...yaani jina la kilimanjaro linatumiwa na hawalipiii, wana mpango gani na kilimanjaro yetu, je, nijuavyo mimi ni marufuku kwao kufanya hivyo hadi wapate ruhusa yetu na mara nyingi wanatakiwa kulipia katika sheria za haki miliki....kuna mwenye update yeyote? ni sawa kwa star tv kuendelea kuonyesha mchezo wa kikenya ambao wakenya wamefaidika na kilimanjaro wakati si yao na hawajawa consult tz? hapa pamekaaje jamani?

wako busy kuisakama CDM
 
mbona icho chuo kwenye mtandao hakipo mi nimesearch sijaona naona watu wanashambulia tu wakati icho chuo hakipo
 
Ukweli mlima kilimanjaro uko kenye ila katika kuchora tanzania tulichora mapema tukauhamishia tanzania hebu chora vizuri uone kama sio kweli nyoooooooooooooosha!!!!!!!!!!!

we kweli bushman!
 
Back
Top Bottom