Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 10,587
- 7,968
Hiyo haki miliki huenda walishalipia! Viongozi wetu wakala. The problem is that, smart people are not in the relevant offices, kuna vilaza wasiokuwa wabunifu. Hatujajua namna ya kutumia human resource tuliyonayo. Kuna watu ambao ni very creative lakini serikali yetu haiwezi kuwatumia achilia mbali kuona tu wapi pa kuwatumia.
Hao smart na creative people uliowataja serikali yetu haiwezi kuwatumia hata iweje kwa sababu (viongozi wetu) watakosa proper channels za kuiba na kulitia taifa hasara kwani wao wanataka Tanzania ibakie masikini siku zote ili waende kuomba misaada nje na kujichotea chao mapema.