Petro Stanislaus Fu
Member
- Nov 29, 2020
- 76
- 53
Asante sana na pale waweza pata mpaka mkopo
ndy, ukiwa na vigezo unapata.Asante sana na pale waweza pata mpaka mkopo
Kwani inayoangaliwa ni overall GPA au ni mwaka wa mwisho?GPA kwanzia 3.5 na matokeo ya form IV wanaangalia, uwe na angalau C tatu.
inayoangaliwa ni ya mwaka wa mwisho wa diploma (ktk semester zote mbili).Kwani GPA inayoangaliwa ni overall GPA au ni ya mwaka wa mwisho?
UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya rushwa ya ngono chuoni, lakini bado Walimu hawaachi why ?? Eti mitihani iliyofanywa alhamisi ya tarehe 30/9/2021 jioni sana leo tarehe 5/10/2021 na imechukua siku 2 tu za kazi, leo imetoka tayari imeshasahihishwa na karibu wanafunzi wengi waliofanya mitihani hiyo wameandikiwa kuirudia mtihani huo mwakani !! Hivi kweli mitihani hiii imesahihishwa muda gani? Kwa siku 2 tu Na matokeo ni kua woote hawakufaulu!! Hivi mitihani imesahihishwa kweli ?? Hivi ni kweli Mitihani hii imesahihishwa kweli !!! Hivi kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yao kuhusu jambo hili kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu ya kupeleka haya malalamiko haya tafadhali sana naomba kujua huu siyo uungwana watoto wetu kufanyiwa hivi.inayoangaliwa ni ya mwaka wa mwisho wa diploma (ktk semester zote mbili).
Aisee, ila mkuu we umejuaje kuw karibia wote waliofany mitihani hyo ya Sup hawakufaulu??UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya rushwa ya ngono chuoni, lakini bado Walimu hawaachi why ?? Eti mitihani iliyofanywa alhamisi ya tarehe 30/9/2021 jioni sana leo tarehe 5/10/2021 na imechukua siku 2 tu za kazi, leo imetoka tayari imeshasahihishwa na karibu wanafunzi wengi waliofanya mitihani hiyo wameandikiwa kuirudia mtihani huo mwakani !! Hivi kweli mitihani hiii imesahihishwa muda gani? Kwa siku 2 tu Na matokeo ni kua woote hawakufaulu!! Hivi mitihani imesahihishwa kweli ?? Hivi ni kweli Mitihani hii imesahihishwa kweli !!! Hivi kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yao kuhusu jambo hili kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu ya kupeleka haya malalamiko haya tafadhali sana naomba kujua huu siyo uungwana watoto wetu kufanyiwa hivi.
kama kachagiliwa chuo kimoja hakuna shida ya kuconfirmWakuu samahan
Dogo langu kachaguliwa hapo udsm round 4
Sasa pale kwenye profile hakuna option ya confirmation
Nini nifanye ili wajue kwamba tayari amekubali kujiunga?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Chuo hakitoa hta Bachelor Degree in Science Physics, Radiation, Aviation wala Aircraft Operations
[HASHTAG]#ChuoNiOvyoKabisa[/HASHTAG]
We nae acha ujuaji,hizo siku ni nyingi sana kwa mwalimu aliye serious kusahihisha.sasa kama watu wamefeli ulitaka wafaulishwe tu?UDSM ni chuo kikubwa sana na hakistahili kufanya haya ,nimeshangazwa sana tena sana kama Mzazi hivi chuo kama UDSM ambacho tulitegemea kua Walimu wako makini kumbe na wao pia wanatengeneza mazingira ya rushwa!! Nakumbuka marehemu Rais wetu Aliwahi kuwaasa walimu kuacha kutengeneza mazingiro ya rushwa ya ngono chuoni, lakini bado Walimu hawaachi why ?? Eti mitihani iliyofanywa alhamisi ya tarehe 30/9/2021 jioni sana leo tarehe 5/10/2021 na imechukua siku 2 tu za kazi, leo imetoka tayari imeshasahihishwa na karibu wanafunzi wengi waliofanya mitihani hiyo wameandikiwa kuirudia mtihani huo mwakani !! Hivi kweli mitihani hiii imesahihishwa muda gani? Kwa siku 2 tu Na matokeo ni kua woote hawakufaulu!! Hivi mitihani imesahihishwa kweli ?? Hivi ni kweli Mitihani hii imesahihishwa kweli !!! Hivi kuna sehemu ya kupeleka malalamiko yao kuhusu jambo hili kama kuna mtu anaweza kunisaidia sehemu ya kupeleka haya malalamiko haya tafadhali sana naomba kujua huu siyo uungwana watoto wetu kufanyiwa hivi.
Collage nd'o nini?Upo collage ipi?
Colgate labdaCollage nd'o nini?
Mueleze. Tarehe 30 hadi tarehe 5 ni siku mbili? Alafu anasema rushwa ya ngono, jamani tuwe makini tusome kwa bidiiWe nae acha ujuaji,hizo siku ni nyingi sana kwa mwalimu aliye serious kusahihisha.sasa kama watu wamefeli ulitaka wafaulishwe tu?