Huwa ni baadhi tu ya Walimu wenye roho za kimaskini ila si Ulaya.Ndio chuo Gani hicho?
Kuna vyuo ukijichanganya tu unaweza kusoma miaka kumi humalizi
😂😂😂Ndio chuo Gani hicho?
Kuna vyuo ukijichanganya tu unaweza kusoma miaka kumi humalizi
[emoji23][emoji23][emoji23]
gombana au share demu na lecture hutoboi.
Kwa UDOM AU MZUMBEUDSM kutoboa masters kwa wakati ni sawa na kubeti
Kama una options chuo kingine kimbia haraka