nenda chuoni kaangalie wameshabandika majina LeoJaman udsm Bado loan allocation Maana kesho Ndio wanafungua chuo plz Masada
Upo serious??nenda chuoni kaangalie wameshabandika majina Leo
wewe asikudanganye huyo, kuna rafiki yangu kaenda leo wakaambiwa majina yanabandikwa kesho chuoni.Nitumien bas hayo Majina ya udsm
Link plzWameweka ya continued and freshers Mzee
wamebandika tu chuoni kwnye tovt yao hawajaweka bad kwahyo mkayafwate huko chuonNdio na Mm nimeomba mwenye link atume
Unashindwa weweNimesoma UDSM Ila kiukweli mazingira ni mazuri Ila lectures wanazingua sana, tunashindwa kiutendaji hadi na wanafunzi wa vyuo vya kata kama UDOM
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio alimdakaga yule jamaa ya kanda ya ziwa sijui Mabula. Wana Coet mkagoma niliwaona viazi sana.Nyahoro bado yupo?yule jamaa ni nuksi,anaingia na camera kurekodi wapiga chabo,noma sana
Mabula au Nyahoro?Kateuliwa Kuwa Mkurugenzi wa Tanroads