University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
5,935
Points
2,000

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
5,935 2,000
Ndugu wanajamii Forums nimeamua kuanzisha thread hii Mahususi kwa University of Dar es salaam yaani kiufupi kila kitu kinachohusu university of Dar es salaam.
Nimeamua kuanzisha mimi kama Mwana chuo kikuu cha DSM. Naombeni Ndugu zangu MODS msiifute Hii Thread Ahsanteni sana!

Kwa Kushirikiana na Wanazuoni wengine toka udsm tutaweka na tuta-update baadhi ya taarifa muhimu toka chuo hichi kongwe kwa kadri taarifa itakavyohitajika na jamii

Tunaomba Ushirikiano Wenu!


Nembo ya Chuo!

upload_2017-4-28_12-15-54.png

Business School
upload_2017-4-28_12-17-41.jpeg
 

wise master

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
1,079
Points
2,000

wise master

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
1,079 2,000
fafanua mkuu
chuo hakikupeleka taarifa zangu tcu ili ziende bodi ya mikopo mkuu ,admission letter yangu hawakua nayo wakidai jina halipo ,bas ata admission letter mmenipa hostel mmeninyima wakati udom walinipa uhakika wa hostel hata kabla sijafika daah nakua kama mwana mpotevu jaman kosa langu lipi ,
 

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Messages
1,537
Points
2,000

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2016
1,537 2,000
Wakuu nmetoka Ordinary level na Pass zifuatazo
Mathematics "F"
Physics "B"
Geography "B"
Language "C"
History "B"
Je naweza kuanza Diploma moja kwa moja ? Kwamaana ctak kwenda Advance na sitaki kusoma faculty za sanaa ,nisaidien
 

Chwekamu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2017
Messages
260
Points
500

Chwekamu

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2017
260 500
Hodi hodi dasilam npokeen hapo panapoitwaga ubungo stand ili nielekee chuo kikuu cha taifa hakika mungu mkubwa sasa nakuja kuiona dasilam aisee kusoma kumbe raha cjawah kusafiri nje ya mkoa Wa iringa namshukur mungu na mkopo juu nmepata.

Ahsante rais Wa wanyonge mh prof john pombe magufuli kwa kuelekeza mikopo kwa watoto Wa Wa wakulima.

Ccm hoyeeeeeeeeeeeee nitakuchagua tena magufuli babaaa
Usijitie ujinga,kumshukuru mtu mmoja,huo mkopo ni Kodi ya baba yako.
 

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Messages
1,860
Points
2,000

DUBULIHASA

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2016
1,860 2,000
Udsm tulitisha zamani. Ck hizi hata vilaza mnasoma hapo. Division 2, 3 unamkuta anasoma sheria Udsm. Hizo ni dharau kubwa kwa chuo hiki kikuu hapa duniani.
 

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Messages
7,946
Points
2,000

natoka hapa

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2014
7,946 2,000
Udsm enzi zile ilikuwa kunji kunji kweli....sio hiki kizazi cha earphone masikion na wanyoa viduku
Sasa kama enzi zenu earphones hazikuepo mngevaa nini masikioni?

Ndio advancement yenyewe bwana alumni.
Heshima yako mkuu

Alafu sidhani kwamba fujo(kunji) ni suala la kujivunia katika ulimwengu wa wasomi wa chuo kikuu Mlimani
 

Forum statistics

Threads 1,343,819
Members 515,214
Posts 32,797,340
Top