University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Msaada wenu ndugu zangu wa dharura

Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine,

otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.

Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.
 
Me mwenyew cjatumiwa mpk leo.. account yang iko vilevile... Nilivyojaribu kuuliza ndy nikaambiwa hivyo xx cjui ni kwl au vip
Embu tusibiria wengine waje wa comment maana mi niliambiwa baada ya dirisha kufungwa tutatumiwa
 
Mpaka muda huu kuna mtu ambaye ameshatumiwa registration and joining instruction(admission letter) hadi sasa?
 
Mpaka muda huu kuna mtu ambaye ameshatumiwa registration and joining instruction(admission letter) hadi sasa?
Mpaka tarehe 23
Screenshot_20201106-155142_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom