University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Hii lugha mnayoandika sijui nikisingeli au kiduku,elfamsin,eka elfsabin,!!!!!!
Bro sio barua ya kuomba kazi nimeandika ,hii ni social platform uamuzi ni juu ya mwandishi mwenyewe mradi ujumbe unafika ka hutoelewa basi ipotezee tu
 
Bro sio barua ya kuomba kazi nimeandika ,hii ni social platform uamuzi ni juu ya mwandishi mwenyewe mradi ujumbe unafika ka hutoelewa basi ipotezee tu
Haya bana ila ujue wanaume wa mkoani wanachukua point tatu kwa mambo madogo kama haya.
 
Hodi hodi dasilam npokeen hapo panapoitwaga ubungo stand ili nielekee chuo kikuu cha taifa hakika mungu mkubwa sasa nakuja kuiona dasilam aisee kusoma kumbe raha cjawah kusafiri nje ya mkoa Wa iringa namshukur mungu na mkopo juu nmepata.

Ahsante rais Wa wanyonge mh prof john pombe magufuli kwa kuelekeza mikopo kwa watoto Wa Wa wakulima.

Ccm hoyeeeeeeeeeeeee nitakuchagua tena magufuli babaaa
 
There is something wrong in your brain.

Ukilionja joto la Dar utuletee mrejesho
 
Karibu jombaa, kufika Dar tayari umepata first degree, pale chuoni unaenda kuchukua cheti tu.
cc wavulana wa mikoani
 
Ukikua utaacha, najua na kaushamba kanakusumbua, nakupa wiki tatu tu ntakuja kukuuliza hapa...
 
Ukifika unitafute nikakuonyeshe kwa sokota..usije ukatumalizia miche ya sabuni madukani.
 
unatutilia aibu sana yaani badala ya kujielekeza kwenye suala linalokuleta umeanza siasa siyo? watch out
 
Wakuu salaam....
Hiv GPA ya mwisho ambayo huandikwa ktk cheti au transcript ni sawa na average(wastani) wa GPA za miaka yote, ambazo hutolewa mtandaoni kama matokeo ya kila mwaka au semster?
Pia je option course yenye unit sawa na core course inaweza ika ireplace core course wakati wa kucalculate GPA;yani mfano Udsm kwa mtu anaesoma kozi ya miaka 3 anatakiwa kwa mwaka awe na units120 so miaka 3 jumla units360 hapo akawa na core course 10 kwa mwaka kila moja ina units12 jumla 120units ila akawa na option course aliyofaulu zaidi ya core course,core course moja yaweza tolewa ikaingizwa option course?
 
Wamefany nin mkuu?
Sema iyo engineering ya kemia. Sio nzuri sana kwa sas. Japokuw Tunasom ili kuongeza maarifa na sio kuajiriwa...... Ila inabid kuwa makin. Ila petroleum chemistry ni pouwa kabisa
 
Wamefany nin mkuu?
Sema iyo engineering ya kemia. Sio nzuri sana kwa sas. Japokuw Tunasom ili kuongeza maarifa na sio kuajiriwa...... Ila inabid kuwa makin. Ila petroleum chemistry ni pouwa kabisa
Labda kama huishi au huna mpango wa kukaa tanzania baada ya kumaliza chuo
 
Back
Top Bottom