Omona Wanyu
Member
- Feb 29, 2012
- 51
- 6
Mtoa mada anazo principle 2.xo hawez xoma udsm
Duh kwa hoja hii na nimepata picha ya chuo unachosoma aisee
Kijana na wewe huna tofauti na wenzio issue ni kwamba HUWEZI KUTAMBA UMEKUWA WA KWANZA KATIKA KUNDI LA VILAZA think big young boy hizo ni records tu wewe hujui hata mishahara wanayolipwa maprofesa ni mojawapo ya kigezo cha kuangalia ubora wa chuo,!Wakuu!
Acheni kelele msiwe wavivu kutafuta. Soma hapa 2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
Principally because you are poor in reasoning, short in thinking and analyzing fact you have failed basically even to understand what I have writen.Sioni hata cha maana ulichoandika hapa?
Go back and read my script before you rush to comment, nimezungumzia idadi na fani zinazohitajika karne hii, acha uvivu wa kusoma dogo, yani ukitaka kufincha vilaza mambo weka kwenye maandishi.Hayo mabadiliko unayoyazungumzia ni idadi ya wanachuo kama ilivyo kwa SAUT? Jamani wanafunzi/graduates wa vyuo vingine ukiondoa UDSM, muwe mnatoa hoja ambazo hazitatupa shaka juu ya elimu mnayoipata huko!
Me hata sijaelewa ulichokiandika[/QUO
Inawezekana una tatizo la kupambanua vitu kwa haraka siwezi kukulazimisha.
tabu ya kusoma vyuo vya kuandikiwa notice ubaoni na kutafsiliwa notice kiswahili recture na seminar hazitofautiani ndo vilivyo lemaza ubongo wako!
Kijana na wewe huna tofauti na wenzio issue ni kwamba HUWEZI KUTAMBA UMEKUWA WA KWANZA KATIKA KUNDI LA VILAZA think big young boy hizo ni records tu wewe hujui hata mishahara wanayolipwa maprofesa ni mojawapo ya kigezo cha kuangalia ubora wa chuo,!Wakuu!
Acheni kelele msiwe wavivu kutafuta. Soma hapa 2012 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
There you are! Wanaofikiria wapo.Ki ukweli ni kwamba udsm haijaendelea kwenye fani za sayansi...imebobea kwenye ualimu na wanasheria