Omona Wanyu
Member
- Feb 29, 2012
- 51
- 6
Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika katika karne hii, wakati sayansi na teknlojia inakuwa Chuo hiki kimeendelea kutoa wataalamu walewale sambamba na vyuo vingine vilivyo anza chini ya miaka 15 iliyopita kama SAUT, SAUT ndio chuo pekee chenye idadi kubwa ya wanafunzi hapa Tanzania, na kinakuwa kwa kazi ya kongeza fani kwa speed ya ajabu, kwa hali hii watakuwa wapi miaka 35 ijayo, UDSM badilikeni muendelee mbele, hivi sasa hatutehgemei muendelee kufunza tuu walimu na wanasheria tunataka kusikia wanasayansi wa anga za juu, mabingwa wa sayansi, na vitu vinavyo fanana UDSM badirikeni hamfanani na miaka 50.