University of Dar es salaam iamke sasa, imedumaa kwa kipindi cha miaka 50.

Omona Wanyu

Member
Feb 29, 2012
51
6
Chuo kikuu cha Dar es salaam, kwa hakika hakijafanya kama kinavotegemewa kwa kipindi cha miaka 50, kimebaki hivyo hivyo kwa kipindi kirefu, kimeshindwa kutoa wasomi na wataalamu wanaohitajika katika karne hii, wakati sayansi na teknlojia inakuwa Chuo hiki kimeendelea kutoa wataalamu walewale sambamba na vyuo vingine vilivyo anza chini ya miaka 15 iliyopita kama SAUT, SAUT ndio chuo pekee chenye idadi kubwa ya wanafunzi hapa Tanzania, na kinakuwa kwa kazi ya kongeza fani kwa speed ya ajabu, kwa hali hii watakuwa wapi miaka 35 ijayo, UDSM badilikeni muendelee mbele, hivi sasa hatutehgemei muendelee kufunza tuu walimu na wanasheria tunataka kusikia wanasayansi wa anga za juu, mabingwa wa sayansi, na vitu vinavyo fanana UDSM badirikeni hamfanani na miaka 50.
 
Hayo mabadiliko unayoyazungumzia ni idadi ya wanachuo kama ilivyo kwa SAUT? Jamani wanafunzi/graduates wa vyuo vingine ukiondoa UDSM, muwe mnatoa hoja ambazo hazitatupa shaka juu ya elimu mnayoipata huko!
 
tabu ya kusoma vyuo vya kuandikiwa notice ubaoni na kutafsiliwa notice kiswahili recture na seminar hazitofautiani ndo vilivyo lemaza ubongo wako!
 
Hoja yako ni dhaifu sana, kwa kifupi UDSM ndio chuo bora kwa TZ, Africa Mashariki na Africa kwa ujumla. Pia unapaswa kuelewa kuwa Chuo hiki kinajitahidi sana kuendeleza taaluma kwa tz licha ya fitna na hila za serikali kutaka kukididimiza.
 
Wachangiaji wanaoipondea post yangu, siwashangai na wala siwalaumu, kwa maana kila mtu anao uhuru wa kutoa mawazo yake kwa jisi anavyoona mradi havunji sheria, as per Bill of Human Rights you have that absolute right, na kwa kutizama uelewa wenu napata picha harisi ya mindset yenu wote muna Inferiority complex inayowafanya mshindwe kuelewa mantiki ya mtu na kukimbilia kulalamika bila kuwa na sababu ya msingi, you guys are running short of reasoning compounded with poor argumentation ngoja niwasaidie the matter at issue here is
1. The University of Dar es salaam is not reflecting its fifty years of age.
2. The Institution has remained with the limited number of students while the demand kept rising.
3. Idadi ya Wanafunzi ni moja ya Indication kwamba chuo kinakua.
4. Common disciplines ndizo bado zinatolewa pale Chuoni kwa miaka nenda rudi.
Twende tukatibiwe ugonjwa wa inferiority complex na kugeuka walalamikaji siku zote bila kufanya utafiti na kuleta suruhu ya mambo.

Kwa wale Walalamikaji kwa taarifa yako am a graduate of the same institution, kwa hiyo msiwe wagonjwa wa kukariri tu kwamba kila anyekinzana na hoja anatoka upande wa pili wa mfumo.
 
Hayo mabadiliko unayoyazungumzia ni idadi ya wanachuo kama ilivyo kwa SAUT? Jamani wanafunzi/graduates wa vyuo vingine ukiondoa UDSM, muwe mnatoa hoja ambazo hazitatupa shaka juu ya elimu mnayoipata huko!
Go back and read my script before you rush to comment, nimezungumzia idadi na fani zinazohitajika karne hii, acha uvivu wa kusoma dogo, yani ukitaka kufincha vilaza mambo weka kwenye maandishi.
 
Ki ukweli ni kwamba udsm haijaendelea kwenye fani za sayansi...imebobea kwenye ualimu na wanasheria
 
tabu ya kusoma vyuo vya kuandikiwa notice ubaoni na kutafsiliwa notice kiswahili recture na seminar hazitofautiani ndo vilivyo lemaza ubongo wako!

Ubongo wako ndio umelemaa, angalia comment yako utaona hata elimu yako inatia mashaka, Wewe chuo ulichosoma notice zilikuwa zinaandikwa wapi? nimetembelea vyuo vyote nakushangaa kwa comment yako yenye ufinyu wa weredi wa kufikiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom